Kweli mkuu ngoja niwe na subiraa kama ipoo ipoo tuu
******BET WOOOOON********"In play
Laliga.
Las Palma's vs Villa real
Race to 7 corners - Las Palma's
Odds: 2.20
Meuliza swali wadau.... App ya 1xbet naipataje cz iliyopo playstore inazingua kufunguka
OkeyTumia Web Mkuu App itakukwamisha
Hivi hii inamanisha nnIn play
Laliga.
Las Palma's vs Villa real
Race to 7 corners - Las Palma's
Odds: 2.20
Aaha wew ndo unabalaa mzeee.... Hapo mapigo ya mbio yanaenda moyoBado game la porto nina laki 8! Usitoe twende sawa
Meshafanikisha shukrani sanaSearch www.1xbet.co.tz kisha fungua link ya kwanza nenda chin kuna kudownload app
Hongera mkuu.... Mimi niko nasubiri Sansiro na corner 10.Tayar ile balimi nimelipa
Ashukuliwe sana Batshuayi.Every little helps brothers, Dortmund kaokoa jahaziView attachment 711722
Wewe ni KE au ME?Meshafanikisha shukrani sana
Wakati inapigwa kona ya 7, las palmas awe na kona nyingi kati ya hizo 7.Hivi hii inamanisha nn
Duh!zinahesabiwa ndioJamani naomba kuuliza dakika za nyongeza timu ikishinda huwa zinahesabiwa ni hilo tu