Baada ya dakika 45 hiviJumla imekuchukua kama muda gn?
********BET WOOOOOON*********In play
Norway
Sarpborg vs Rosenburg
Next corner (9)- Rosenburg
Odds: 1.76
Vunga inachukua muda kidogo litaingiaWakuu,nmecash out salio likasoma kwa account,nikawithdraw lkn mpaka sa hizi haisomi,msaada jinsi ya kuwapata mlipa ili wanipe changu
We kama mimi leo upepo umegomaBeting imekua ngumu sana
Kwang acha tukutane next season
Kwenye hii kaz
Mikeka miwili hyo kla
Moja na mchawi wake
Ngoja nirud zang
Chihcart na mmu kwanza
View attachment 711748View attachment 711749
Jamani naomba kuuliza dakika za nyongeza timu ikishinda huwa zinahesabiwa ni hilo tu
PAOK ALISHINDA 1Kuna nn kinaendelea khs gemu ya PAOK? naisubiri tu hyo game
Ngoja niwatafte vip wana apphv hawa cjui moja bet wanazo akili kweli nd wanagawaje odds kzembe hv! View attachment 711819View attachment 711821
mimi inakaribia masaa 24, je ni kawaida?Vunga inachukua muda kidogo litaingia
Apa ndio utaona kuna umuhimu sana wa cashout tatzo kampuni zetu kibongo bongo wana taka watule wao tuu ndo maana hawaoni kuweka iko kipengele
Acha ujinga,Daah.. Neno ninge huja mwisho wa safarii
Hawajaweka matokeo inaonyesha mechi ilivurugika,sa sijajua kuhusu mpunga wetuPAOK ALISHINDA 1
Dak 90 ziliisha bhna Paok kashindaaHawajaweka matokeo inaonyesha mechi ilivurugika,sa sijajua kuhusu mpunga wetu
Mkuu mechi ya huko kwa wayunani imeandikwa interupt vp watarudia hyo game au huwa inakuaje?Acha ujinga,
mechi haijaisha hiyo.
Ndo kwanza 1st half
Watu wenye imani haba km nyie, ni tatzo kubwa sn kwny hii Kazi yetu.
MNAKERA SANA
****LOST****In play
Atalanta vs DC utd
Under 3.5 goals full time
Odds: 1.75