Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inapendezaa kuonaa vijanaa mmemkalishaa mhindii maana anatuvuruga sana siku nyingne
 
Sijawahi kuona timu za kiQUMER kama Porto na Basel....na hawa Basel hii ni mara ya pili kunitia hasara lakini sikomi.

 
[emoji122] [emoji122]
 
jaman mpaka sasa hiv nimeshahama hama karibia betting center zote...nimeamua nirudi kwa muhindi lakin bado nachezea za uso...hii michezo ya kubet nyuma ya pazia kuna mengi sana tusio yajua...tunachezewa akili kabisa...naacha rasmi
Unahisi kuna utapeli au
 
Tatizo la watu wengi wanashindwa kupata pesa kwenye betting kwa sababu ya matarajio makubwa. Mfano mtu anabet 1000 au 2000 anatarajia 500,000 au 1M hiyo Unaweza ukachukua hata mwaka kuja kutokea mara 2. Ni bahati nasibu. Kufanikiwa ni kutarajia pesa kulingana na kiwango unachokiweka. Utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…