Dah pole yangu leo nalala njaaNetwork inasoma "Edge",
Afu Bonge LA mvua&radi inanyesha.
Naingia online kwa kuvizia
Unaangalizia wapi mjomba na mie niifuatilie........Bet Won......
Chupu niliwe kichwa. Mbaya zaidi mechi naangalia live.
Ni dkk ya 94 anaongoza 1 kwa bilaWakuu msaada matokeo mechi ya valerenga
FT ameshinda 1 bilaPoa poa mkuu
Ngoja tusubiriPoa poa ngoja nimsubiri city fist time result mkuu
Sport cp nae nimempa direct win lakn first half imeisha mtungi mtungi
Sijaelewa hao M-Lipa ni kwamba pesa ukitoa kwa Tigo au Voda kwenye 1xbet lazima zipitie kwao?Kama ni M-Lipa namba zao hizi
+255 752 869 302
+255 715 222 132
Unatoa kutumia mfuma gani? Labda sie tunatumia njia sio sahihi...Mbona kwangu hawajawahi kusumbua kabisa kutoa ama kuweka hela? Nikitoa dakika 15 ishafika
******BET WOOOOOON****In play
Bundesliga
Bremen vs Koln
Under 1.5 goals first half
Odds: 1.39
Hii mm mwnyw nlkua naifikiria.Werder Bremen v FC Koln
Koln Over 1.5 yellow cards
Odds 1.6
Naona ina chance kubwaHii mm mwnyw nlkua naifikiria.