Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

M Lipa jana usiku wanadai walikuwa wanafanya maboresho kwe system na mim nilitums hela haikusoma, asubuh nimewapigia jamaa kaniambia nisikate simu arekebishe, alipomaliza kaniambia nikachek account nkakuta hela imesoma
Ni kweli mkuu hata mimi nilipata tatizo kama lako, nilideposit hela mara 2 hazikufika kwenye account yangu.Leo Nikawapigia m-lipa Kwa 0758460813 ndani ya dakika zikaingia
 
Tokea nimeanza kutumia 1xbet nimejua kweli makampuni mengine yapo Kwa ajili ya kuchukua stake zetu... 1xbet ni kampuni nzuri sana
Hata mimi nimeliona hilo sina muda mrefu kwenye hii kampuni ila nimejionea,special thank ziende kwa deep pond
 
Hata mimi nimeliona hilo sina muda mrefu kwenye hii kampuni ila nimejionea,special thank ziende kwa deep pond
Huyu Deep Pond ameleta mapinduzi makubwa sana kwenye Jukwaa Letu..much respect kwake
 
Yellow Cards Kashima Antlers - Yellow Cards Sydney (1 Half)
Individual Total 1 Over (0.5)

Odds

Bet Kistaarabu
3.32
 
Sometimes wenye matatizo ni hawa M-lipa...procedure zote unazifuata....na pesa haisomi....uwe unatumia web/app...hii ni mara ya pili tangu nilipoachana na Visa card....
 
Kuna mdau aliuliza kuhusu ADVANCE BET (1xbet) hii wanakupa kuongezea kwe mtaji wako hasa pale unapokuwa bado una mikeka inayopumua na umebakiza stake kidogo na unataka kiendelea kuweka mikeka,mfano una 2,000 wao wakakupa 1,000 hapo unaweza ukaweka stake ya 3,000 ila changamoto ni kwamba huu mkeka ulotumia advance bet hata ukitiki hawakupi wanakata ile sh 1000 yao katika mikeka ulocheza nyuma, sasa mikeka ya nyuma ikifa huu ulotik wenye advance utakuwa pending mpaka uweke mkeka mwingine na utiki
 
Kashima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah gundu mapema tuu
 
Hawa jamaa basi watakuwa kama Gal Sports Betting na wenyewe wahudumu wao ni mbulula sana. Kuna siku nilideposit hela kumbe system yao haikuwa okay walikua bado wanafanya maboresho sas ikabidi nisumbuane sana na wale wahudumu wanirudishie mpunga.... Dah aisee unaweza kuwatukana vibaya sana wale dadaz au km una roho ya kiscopio unaeza ata kuwazibua vibao kabisa yaani anakuja mmoja anakuuliza sijui umedeposit shs ngapi mtandao gani unamwambia vyote, akitoka anakuja mwengine unaanza upya kujieleza dah siyo siri niliwachukia gal spot toka siku hiyo ila nashukuru nikakutana na mshkaji akaniambia achana nao hawa wadada hawajui chochote ndo akanishauri niwapandie technical team ambao wakanisaidia pesa ikaingia kwenye account ingawa kwa kuchelew sana.

Nilichogundua ni kwamba hawa Gal Sport Betting makao makuu yao yapo Israel na kwa East Africa technical experts wako Uganda. So ukikosea transaction yeyote ile hawa wabongo hawana chochote wanachoweza kufanya isipokuwa kuharakisha taarifa zako Ug ili zishughulikiwe na hao technical stuffs.... Sasa hawa wahudumu hata kupeleka tu hizo taarifa kwa uharaka bado wanashindwa, wanatia aibu sana
Atleast ukiwaendea technical wa hapa bongo ndio wanaozipeleka taarifa fast na kukumbushia mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…