makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
WonEuropa
Kiev vs lazio..
Race to 7 corners.. W2
Odds 1.91
1xbetHivi wazee n kampuni gani nzuri kwa kubetia mwanzoni nlikua natumia mbet siwaelewi siku hizi
Iyo kila nikiregister hawatumi sms ya code1xbet
ili upate code SMS inatakiwa ujaze namba yako kama hivi 76207810.... na siyo hivi 076207810. jisajiri ni haraka sana >>>https://1xgbu.top/en/?bf=5aab6380961f5_171250347Iyo kila nikiregister hawatumi sms ya code
daah basi ndo hvyo
Premier bet, hatuna makato sisHivi wazee n kampuni gani nzuri kwa kubetia mwanzoni nlikua natumia mbet siwaelewi siku hizi
Wewe ni mfanhyakazi wa Premierbet Mkuu?Premier bet, hatuna makato sis
Pamoja mkuuili upate code SMS inatakiwa ujaze namba yako kama hivi 76207810.... na siyo hivi 076207810. jisajiri ni haraka sana >>>https://1xgbu.top/en/?bf=5aab6380961f5_171250347
Hapana ila wanazingua usajili. Hlf Id ya taifa cna; nina ya kura na inakataaaWewe ni mfanhyakazi wa Premierbet Mkuu?
WanakeraNimejisajiri na hao 1Xbet nikilog in wananiambia wrong password
Wakina nani hao wanaozingua usajiliHapana ila wanazingua usajili. Hlf Id ya taifa cna; nina ya kura na inakataaa
May be umeweka wrong password, sasa kama umeweka wrong password unadhani watasemaje?Nimejisajiri na hao 1Xbet nikilog in wananiambia wrong password
Hao jamaa wana customer care mbovu sana kwanza nimefungua account jana tu tayari nishawachokaNimejisajiri na hao 1Xbet nikilog in wananiambia wrong password
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao jamaa wa customer care mbovu sana kwanza nimefungua account jana tu tayari nishawachoka
Ziko nyiingi mf. Meridian, Premierbet, Mbet, Princessbet, Mkeka nk.....ila hautopata option kama za uko 1xbet. So kuna tips za wadau utakua unaziangalia kwa macho.Hebu nipeni bookmakers wengine ambao wako friendly na hawazingui kwenye miamala na wenye odds nzuri na options nyingi za in-play.
Tusaidiane hapa tafadhali
Well said kiongoz, vp hakuna inplay za asbh tufungue ofisMi nashangazwa sana na mnaolalamika kuhusu 1xbet, ukiona hawakufai hama nenda kwengine mbona makampuni yako mengi!Wenzio tunaokomaa na hawa jamaa ujue tumeona wepesi wa kupiga pesa kutokana na option zao nyingi kua rahisi na possible ivyo tumekubali kuingia gharama ya hizo huduma zao mbaya, ki ukweli kampuni za bongo zijifunze kwa hawa warusi ktk kuweka options