*****BET WOOOOOON********Inplay
Tunisia lig 2
Hammam vs Sfax
Under 3.5 goals full time
Odds: 1.35
Nimeshakaa sawa mkuu, ilikua issue ya registration ila sasa niko sawaKwanini wewe hao 1xbet wamekusumbua ktk eneo lipi?
********BET WOOOOON******In play
UAE pro
Al Nasr vs Hatta
Multi goal: 2-4
Odds: 1.32
**********BET WOOOOOON******In play
Turkey lig1
Adana demispor vs Umryanespor
Race to 5 corners: Umranespor
Odds: 1.67
Huu nmeuelewa[emoji59] View attachment 716957
Hilo nimelifanya ila zinakuja options nyingi tu ila hizo za corners:fouls,yellowcard-sizioniUnabofya kwenye Majina ya Timu pale.
Au pale kwenye matokeo yao.
UkiSLIDISHA page to Left side utaziona.Hilo nimelifanya ila zinakuja options nyingi tu ila hizo za corners:fouls,yellowcard-sizioni
***"""""**LOST*****In play
Turkey lig 1
Adana dermispor vs Umranyespor
Multi goals: 2-7
Odds: 1.62
Hatutaweza kuelewana maana tayari nimekuambia kua ina wachezaji ambao wako mwsho wa ubora wao wewe unadai hao ndio wazuri, sasa cjui haufaamu kua Iniesta na Busquest nk. wa miaka ya 2014 ni tofauti na hawa wa leo. In short ktk soka ukifika tu 30 unahesabika ndio unamalizika kimpira. Subiri tu utaiona safari ya Barca akicheza na team zenye mids za kueleweka. Barca akishikwa Messi na Suarez hakuna goli hapo, tazama game zao za nyuma ambazo Messi na Suarez hawakua ktk viwango vzuri utaelewa, Kwasasa imebaki kutegemea miujiza ya Messi kama mleta matokeoMkuu usiongelee Chelsie . hata el classical ya kwanza kwa valverde ilikua hivyo na mech zake zote za msimu ndo style yao ya soka. Yaan ni wapak bus full japo mpira wanaucheza kidogo. VP mechi ya atletical Madrid uliiona..? So mindset yako unafkr barca ni wabovu kwa sababu wanacheza denfensive game..la hasha ila valverde kai transiform barca kutoka kwenye tik tak mpaka kwenye Ku pak bus.. Nafkr kwa sasa barca ndo team mbovu zaid kwenye kuuchezea mpira. Na man city & Liverpool ndo team znazocheza soka la pas nying na fup huku wakishambulia kwa speed. The least wanacheza mpira Wa kawaida lakn mpira jiwe
****"*"***BET WOOOOOON******In play
Bulgaria
Septemv Sofia vs vereya
Multi goals: 1-3
Odds: 1.35
Ila sio timu ya kuomba ikutane na timu yako maana hao watu wawili wa mbele kuwazuia kazi kubwaHatutaweza kuelewana maana tayari nimekuambia kua ina wachezaji ambao wako mwsho wa ubora wao wewe unadai hao ndio wazuri, sasa cjui haufaamu kua Iniesta na Busquest nk. wa miaka ya 2014 ni tofauti na hawa wa leo. In short ktk soka ukifika tu 30 unahesabika ndio unamalizika kimpira. Subiri tu utaiona safari ya Barca akicheza na team zenye mids za kueleweka. Barca akishikwa Messi na Suarez hakuna goli hapo, tazama game zao za nyuma ambazo Messi na Suarez hawakua ktk viwango vzuri utaelewa, Kwasasa imebaki kutegemea miujiza ya Messi kama mleta matokeo
Wamesajili coutinho tayari ameshaanza kutema cheche, dembele huyu mnajua alichowafanya Chelsea. Arthur kutoka gremio naye tayari wameshamalizana na gremio( new Sergio)Ila sio timu ya kuomba ikutane na timu yako maana hao watu wawili wa mbele kuwazuia kazi kubwa
Nadhani Mkuu upo nje kabisa, Coutinho anachezaje UCL wkati alishachezea Liverpool?Hivi unajua kua dirisha lilishafungwa hizo sajili hazichez hii michuano sabab majina yalishapelekwa, mimi nazungumzia team inayocheza hii michuano ya UCL aisee. Ndio sabab nikikuambia unitajie viungo utataja Iniesta, Busquet wakat huo uyu Iniesta sabab umri umeenda hata ktk ligi huwa anapumzishwa amalizi gameWamesajili coutinho tayari ameshaanza kutema cheche, dembele huyu mnajua alichowafanya Chelsea. Arthur kutoka gremio naye tayari wameshamalizana na gremio( new Sergio)
Bet WonIn play
Jordan
Al ramtha vs al Hussein
Under 2.5 goals fulltime
Odds: 1.13