Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu hakuna namna tunaweza punguza machungu Iplay nina kamtaj kidogo hapa ka unakokolo naliomba mkuu
dah mkuu me ndo nafunga hesabu nilianza na 10k leo tu
zote inplay nimepata faida ya 13400.

total woon




total lost


 
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu wadau wa kubet naomben msaada namna ya kulipia odds kupitia wallet maana inaonesha hata miatano unaweza lipia lakin kwangu inanigomea unafanyaje ili ikubali maana nimechoka kuliwa buku dairly nahitaj nicheze kwa jero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…