Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kifupi mi naona meridian bet ndio mpangao mzima wana odds nzuri pia wana option kadhaa zinazokuwezesha kurudishiwa pesa yako hata kama umepigwa au kupata bonasi hata kama umepigwa pia
 
Kifupi mi naona meridian bet ndio mpangao mzima wana odds nzuri pia wana option kadhaa zinazokuwezesha kurudishiwa pesa yako hata kama umepigwa au kupata bonasi hata kama umepigwa pia
Hizo Option za Kurudishiwa ni zile za Ku-Turbo??
Mi napenda Premier Bet sababu tu wakikukata kodi wanakuja kukurudishia kwenye Bonus,
Shida yao ni Moja tu kua wanachelewa kukulipa, na weekend ndio hawalipagi kabisa
 
Habari za leo wapambanaji wenzangu, naona siku ya leo hata gem hamna kabisa..... za kuokoteza okoteza tu
 
Sijawahi kuona timu za kiQUMER hapa ulimwenguni kama Lazio na Celtic.
 
INPLAY
Slovan libere(under 21) vs Dukla plague
Under 4.5 - full time
1.54
 
Hizo Option za Kurudishiwa ni zile za Ku-Turbo??
Mi napenda Premier Bet sababu tu wakikukata kodi wanakuja kukurudishia kwenye Bonus,
Shida yao ni Moja tu kua wanachelewa kukulipa, na weekend ndio hawalipagi kabisa
Kuna kuturbo halaf pia kuna spesho mechi ukibeti hizo halaf ukaliwa lakini kama kuna mechi iliishia bila bila Kati ya hizo unarudishiwa chako
 
timu chache point za kutosha

US Casertana 1908 v Unicusano Fondi
1(1.81)

FC Winterthur v Servette Geneva FC
2 (1.70)

TALLERES DE REMEDIOS DE ESCALADA v Deportivo Espanol
1(1.74)

Cork City FC v Bohemians Dublin FC
3 Way - 1(1.47)

7.87
 
Tuwekee na nchi zake bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…