Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BRAZA....SIFAGI NA WAWILI..... NA WOTE WANAONGOZA..... KAMA UMENIFATA....UKILIWA NI pm.....nkurudishie pesa yako.....

hongera mtoto wa nzi mimi sikukufata ila ninafurahia mafanikio yako hongera sana big up man........!
 
Daah Nashukuru gem ya Sevilla imemalizika nimempiga Muhindi Hela ya Supu
Nlkua hivi...

Wolsfburg win
Sevilla win
Shefild utd win
Braga win
Mk Dons win
Atletic Madrid Win

Odds 13.5 x 1000

Tsh 13500/=

Sisi twaitaga Si haba wao waitaga ya Supu.....

Hahaha nimecheka sana leo watu walivomuongelea Monaco baada ya kuwauaa kwenye mikeka daah...
Wengine wamemuita Monaco ,,Mpuuuzi mmoja,,,Mshenzi mmoja,,mjinga mmoja,,asieefaa mmoja,,,,hafaii yulee,,amezeeka yule,Sijui alkula maharage ya wapi yule,,......amebwayabwayaa...
.......
Kesho nayo ni siku!! Tujipange upya kumliza Kanjibai...

Good night Wadau...
 

WE JAMAAAA UMENFURAHISHAJE...... WIFU NI MZUNGU ...AFU MFARANSA..... akanikanya USIMCHEZE MONACO..... DUH.....NA NIKATOA ONYO HUMU.......
 

chief..humu ni jukwaa la kumpiga baniani huyu....... Kama umekula.kupitia tips zangu.....sina haja ya malipo...jitu.e
 
Freee tips...

Atl.madrid
wolfsburg
milton keynes dons
braga
sevilla.....
Kama una mtaji...jipange toa mmoja.....sifagi na wawili kwa mkeka......

Nashukuru mkuu at least kesho nitabet kwa pesa niliyomchangia good friday mpaka easter.!though nilimuofia sevilla so nikamtoa.
 
Monaco nimekuweka Cant list,
Dortmund pia
Leo natafuta odds 10 tu naweka 40000 yatosha.
 

Heshima yako Mtoto wa nzi , you are a pro punter! Jana kuna sehhem umeokoa mkeka wangu namba mbili ilikuwa nipoteze, mkeka namba moja ulijibu mapema, nilivyoona mkeka wako nao nikatembea nao mzimamzima nao ukajibu, kwa hiyo mikeka yangu yote ya jana imekubali. Kuna ushauri huwa unautoa hapa kama masihara lakini mimi huwa nachukulia serious sana. Thanks bro.
 
Last edited by a moderator:
0990 08-04 17:30:00 Drina-Sarajevo ​
Final Score 2 1.52
0993 08-04 17:30:00 Zvijezda Gradacac-Siro
Final Score 2 1.50
1141 08-04 21:00:00 Barcelona-Almeria
Final Score 1 1.05
0664 08-04 21:30:00 Rapid Bucharest-Targu
Final Score 2 2.85
0092 08-04 21:45:00 Celtic-Partick Thistle
Final Score 1 1.12
0515 08-04 21:45:00 Hearts-Alloa Athletic
Final Score 1 1.25
1311 08-04 14:30:00 Albirex Niigata-Geylan
Final Score 1 1.52
1293 08-04 21:30:00 Altach-Salzburg
Final Score 2 1.47
0343 08-04 19:00:00 Dinamo Zagreb-Rijeka
Final Score 1 1.70
1303 08-04 22:00:00 P S G-St. Etienne
Final Score 1 1.40
0791 08-04 21:15:00 St. Gallen-Basel
Final Score 2 2.00
0741 08-04 20:00:00 Bielefeld-M'gladbach
Final Score 2 1.55
0731 08-04 17:45:00 Terek Grozni-Zenit
Final Score 2 1.80
0732 08-04 19:00:00 Kuban-Ural
Final Score 1 1.55
0150 08-04 20:00:00 Jagodina-Partizan
Final Score 2 1.60
0249 08-04 19:00:00 Teplice-Plzen
Final Score 2 1.90
0693 08-04 21:45:00 Legia-Podbeskidzie
Final Score 1 1.35
0679 08-04 19:00:00 Videoton-Ujpest
Final Score 1 1.35
0651 08-04 19:00:00 Ludogorets-Levski
Final Score 1 1.60
0768 08-04 18:30:00 Trencin-Banska Bystric
Final Score 1 1.25
0824 08-04 17:00:00 APOEL-Omonia
Final Score 1 1.72
------------------------------------------
Total: 600.00
------------------------------------------
Max payout: 5000000.00
Min payout: 5000000.00
 

🙈🙈🙈🙈🙈 ngumu kumeza
 
Hadjuk split win
Apoel win
Ludogrets win
Lokomotiv win
Fc botasani win
Cska moscow win
Videoton win
Legia win
Odds 34.238
 
 ngumu kumeza
Mkuu lazima uwe unaweka mtego wa kukamata vidagaa amabao ni rahisi lakini usisahahu kuweka mtego wa kukamata nyangumi ijapokuwa ni ngumu ipo siku ataingia laini utamkamata kiulanini nchana kweupe. Ukiangalia kwa umakini timu nilizoziweka ni wababe katika ligi zao kwa hiyo inaweza ikatokea chance ndogo zote zikashinda.
 
Za mapema saa saba tu check hiz
Hiroshima win
Albirex win
Pasco vale win
Port Melbourne win
Odds 18.78
 
Wakuu naomben ushaur wenu hapa:
................................
Barca
Real Madrid
Shakhtar Donetsk
Legia Warszaw
Celtic
Hearts
Sporting Lisbon
Liverpool
Lokomotiv Moscow
Monchengladbach
................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…