Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
1 army Mimi napiga physically premier bet...hata hivyo chukua hizi nilizokuwekea hapo. Kama huna woga jilipue. Weka 15000 mkeka wa kwanza unapiga 235000/= huo wa pili unalinda mtaji...
Msaada wa betting sites in tabzania,meridian betting inagoma kufunguka.naijua mbetting ila haina option nyingi.kwa anaejua sites nyingne za kubetia hapa tz anijuze tafadhari
Msaada wa betting sites in tabzania,meridian betting inagoma kufunguka.naijua mbetting ila haina option nyingi.kwa anaejua sites nyingne za kubetia hapa tz anijuze tafadhari
Hizi red zipe cap, a'fu angeza nyingine mbili. Hearts na monchegladbach. Yaani uonekane hivi:
Barcelona 2+
Real Madrid 2+
Zenit 2+
Hearts 2+
B.monchengladbach
Celtic 2+
Unaweza kuurudia Mara mbili. Timu hizi hizi unabadili ushindi.
Mkeka wa pili ubaki hivyo hivyo ila kwa Madrid na Zenit unaweka ushindi wa kawaida.
Mkeka wako uwr na timu 6 hizi nyingine achana nazo.
Za jana
mbaba umeulizwa ni website gani hii.....wape link watu wajionee.....
BLACKBURN 4.99 WIN
BAYER LEVERKUSEN 1.72 LOSE
NAPOLI 3.00 LOSE
Stake. 10,000
Tigo Pesa
Number of bets: 3
Potential winnings: 2574,840 Tzh
BLACKBURN 4.99 WIN
BAYER LEVERKUSEN 1.72 LOSE
NAPOLI 3.00 LOSE
Stake. 10,000
Tigo Pesa
Number of bets: 3
Potential winnings: 2574,840 Tzh