Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mtoto wa inzi,reimundo muda wakuu wa kurudisha japo hasara.
psg wil be without d luiz&t silva natafakar kuweka draw au kufuata goal la st etienne.

Kuban anamaliza kazi hapa, nadhani wapo watakaolala mapema sana leo.....
 
Na saasaa natoa
tamkoo sasaaa!!!!
Mpuuzii mmojaaa,,mjingaa mmojaa,,asiefaa mmojaa ,,anaitwaa MONACOO
ambaee juzijuzi alishindaa ila janaa kwa sababu ya kulaa chakulaa chakee
akacheza hovyoohovyoo....
sijui alikula maharage ya wapii yulee??!!! Timu zinginee zoote
zimechezaa vizuri na zimeshindaa lakini yeye akabwayabwaya
,,akalewalewaa akatoa Droo...Namuita mjingaa yulee,,hafaii yulee,,,sjui
karogwa na nani yulee??... Haiwezekani aje kinyumee na mkeka
mzimaaa,,,!!

Nilikuaa namuamini mimi ..sasaaa simuamini tenaaaa!!...na ninamtangaziaa
hilii..na kila mtia mzigo mwenye akili timamu awee wa Meridian,,awe wa
Primier betting,,awe wa M-bet Usimuaminii Monaco kwa sababu kajishushiaa
heshima mwenyeweee..!!Timu zinginee zoote ikiwemo Atletico
madrid,ikiwemo Braga,,ikiwemo Sevilla,,ikiwemo MK dons,,ikiwemo Shefield
Utd woote wamecheza vizuri na wameshindaa...

Agghhrr!!! Muheshmiwa Monaco ,,pokeaa ujumbe wangu leoo..hufai kabisaaa
na kama ingewezekanaungeshuka daraja kabisaa maaana Umenichaniaa Jamvi
languu,,Hufaii monaco,,ondoka monaco,,kalaleee monaco,,huu ni wakatii wa
KUBETIIIIIIIIII NA KUSHINDAAAAAAA!!!!!!:bange::bange::bange:
wiiwiiiiii,,,wiwiiiii,,wiii..!!!!!!
Kama ww ni monaco kaiambiee Umebabuliwa kule Jf..,,basi kama yanakuuzi
hayo kashitaki kwa Kanjibai,,Lakini mimi nasema hufaai,,inawezekana
umefilisika,,inawezekana umekwishaa,,inawezekana umezeeka,, Umeaibisha
Ligi ya Ufaransa; Psg; monaco anawaaaibisha,,Marseille; Monacoo
anawaaibisha,,Lyon; monaco anawaaibisha MONACOO umeaibishaaaaaa!!!!
Umekua kama Timu ndogo ilioshuka daraja isiojua la kufanyaa..
uuhhh..uhhh..uhhh..
Baaasii sasa,,,ujumbe umefika sasaaa,,roho imeuliaa sasaa..sasa tunaweza
kubett tena leo sasaaa nimempa vidonge vyake sasa!!nimempa shilingi
zakee sasaa!!!!Nimeona kuendeleaa kubett leo huku nimemkopesha
haifai!!nimemlipa cash!!sio kwa installment,, Na Wazee wa kutia mzigo
wataendeleaa kunawirii!!
Wabarikiwe Atltc madrid walioshindaa,wabarikiwe Mk dons
walioshindaa,,wabarikiwe Sevilla walioshinda.,, Akapate Matatizo Monaco
aliedroo jana... Namuamuru Porto aliepangwa nae robo fainali uefa
akampige kipigoo!!arudi kwenye mstari kama zamanii
Eweee monacooooo ulieninyima ela ndefuu,,,,,, ni naniii
aliekurogaaaaa????????:A S confused::A S confused::A S
confused:???

hahahaha aisee we jamaa umetisha
 
Monchenglabadch.. Mimi kuanzia Leo siwafagilii.. Wangese wakubwa nyie, yani kiukweli mngekua bongo hata kinyesi ningeweka kwenye bus lenu
Makumake zenu
 
Monchenglabadch.. Mimi kuanzia Leo siwafagilii.. Wangese wakubwa nyie, yani kiukweli mngekua bongo hata kinyesi ningeweka kwenye bus lenu
Makumake zenu
Leo wababe woote wa dunia walikuwa wanacheza na wakati mtu anachagua timu za kubet mpaka anachanganyikiwa achukue ipi aache ipi ila matokeo yanayotoka ni kinyume kabisa. Nimegundua kuwa leo ni siku mbaya kinyume na matarajio kwa sababu pepo la droo lipo hewani limetoroka kuzimu linanyonya mikeka ya watu.
 
Leo wababe woote wa dunia walikuwa wanacheza na wakati mtu anachagua timu za kubet mpaka anachanganyikiwa achukue ipi aache ipi ila matokeo yanayotoka ni kinyume kabisa. Nimegundua kuwa leo ni siku mbaya kinyume na matarajio kwa sababu pepo la droo lipo hewani limetoroka kuzimu linanyonya mikeka ya watu.

We jamaa unaongea mavitu gani!?? Unajua nimepigwa hapa hata sielewi unazungumza nini man... Kum...ke zako monchenglabadch
 
Yani Monchengladbach ni Ma mbwaaa mwituu yani ni mafisiiii kabisaa!!!Maninaa aaaggggggrrrrrr!!!!!yani nimewamynd kingeseee!!!maninaaa zaooo!!!!aaaghhrr!!!!!!!!!!yani daah sina hamu nao!!!!
Wananilaza mapeeeema kabisaa Mbweha awaa!!!
Siangalii cha madrid wala barca aaaaghhh!!!!


Aaaghrr Makumakee zaoo hao unampiga bayan,_unampiga hoffenheim unakuja kumshindwa mngese wa daraja la pili maninaaaa!!!!??
Kengee kabisaa monchengldbch!!!!
 
Monchenglabadch.. Mimi kuanzia Leo siwafagilii.. Wangese wakubwa nyie, yani kiukweli mngekua bongo hata kinyesi ningeweka kwenye bus lenu
Makumake zenu

mbavu zangu mie,mkuu hicho kitimu alicho cheza nako kapo vzr na kanaweza kakamtoa.ila umenichekesha sana.
 
Naomba mnaotukana msimalize matusi yote mniachie na mimi au kama mtamaliza naombeni mniandalie yale mazuri kwa ajili ya liverpool na psg asanteni matusi yotebyanakatibishwa baada ya dakika 90
 
Back
Top Bottom