b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
Naomba mnaotukana msimalize matusi yote mniachie na mimi au kama mtamaliza naombeni mniandalie yale mazuri kwa ajili ya liverpool na psg asanteni matusi yotebyanakatibishwa baada ya dakika 90
Mkuu... Tuombeni Liverpool, Bayern na PSG wafanye kweli... Wanipe hata ya kucheza kesho
La hasha... Umaskini unawinda pochi na a/c zangu