Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thank you lord.....
Aliyechagua vizuri hapa bila shaka muda huu anakicheko kama mimi.
 
Chaka Vibaya Mno
 
Then mkuu nahamiasha vp
We ingia umo utapata maelekezo ni kama kampuni nyingine. Utaona option ya mitandao,kisha chagua mtandao unaotaka kutolea, weka kiasi watakutumia code ktk namba uliojisajili ili u confirm bhasi yani fata itavyokupeleka Mkuu
 
Kuna mdau mmoja majuzi nilimwambia Barca ya sasa si team. Ni Messi na Suarez haswa wanapokua ktk viwango vyao akabishana weeee, aje aone leo kocha alijifanya kumuweka benchi Messi kilichotokea anakiona muda huu
 
Messi ameingia kuokoa jahazi 2-2 yani Barca walipoteana kabisa bila Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…