Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushauri wenu wakuu nani atolewe hapo....
Brescia Under 3.5
Buyern win
Inverness win
Aston Villa 12
Wolverhampton 12
Atalanta win
Hibernian win
Total Odds 6+
 
Juve gg/bts
Crusaders gg/bts
Bayern win
Hibernian win
Atalanta over 8.5 corners

Odds za kibabe hizo chapa stake tukutane jioni
 
Vip mdau ushafanikiwa kuwthdraw?
Kama bado jaribu kuactivate phone namba yako kama mdau alivyoelekeza hapo jui
Aisee bado sijafanikiwa kutoa na nilishafanya hiyo step bado code hupew kwenye verification.. yaan n shida sana.
 
Aisee bado sijafanikiwa kutoa na nilishafanya hiyo step bado code hupew kwenye verification.. yaan n shida sana.
Daa mbona mimi nimefanya verification na code imekuja fasta tu
Sijui nn tatizo kwako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…