Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau nimeamini mda mwingine kuBet sio kutafuta odds ndogo bora utafute odds kubwa tuu ujue moja kuliko kuloss mkeka kwa odds ya 1.22

Kweli mkuu,mi ndo maana huwa nakuwa kunguru sana kwenye odds za matimu makubwa coz unarisk 10,000 ili upate 20,000 basi huwa naona kizunguzungu,hebu angalia km ndugu yangu huyu hapa
 
Jamani mwenzenu nipo mnadani na hawa watu kwenye Turbo maana kwa hali niionavyo leo naweza jikuta nakubali kurudishiwa 20% ya winning ammount ila kibaya mi nataka wapande dau kidogo ila hawtaki.
 
Jamani naombeni msaada match moja iko postponed baada ya mda kufika siioni livescore ku google ndio naambiwa ivyo.
 
Match postponed na nyingine zote ziko vzr nilikuwa naisubiria hii ndio naambiwa iko postponed
 
Basi shukuru umekula ila hizo odds za hiyo match hazitakuwa included nadhani wajua namna ya kukokotoa,zidisha odds za game zilizoisha kisha zidisha kwa stake yako mara 18%Tax basi amount itakayobaki ndo halali yako.
 
Asante mkuu.
So salio langu nitalipata?
 
Unaweza kuuza mkuu... Mimi wamebaki bayern na wolves nipate pesa ya supu
Ah mkuu nimeghaili acha nipambane na shetani coz mnunuzi mwenyewe anaingia NA kutoka,akiona mtu anashambuliwa anarudisha hela mfukoni utasikia ah subiri kwanza mbona km flani kaelemewa.Ngoja nipambane nae mpaka final whistle.
 
Eeh subilia Hope mambo yatakuwa salama kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…