Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mdau nilimpa ushauli asjalibu kumpa city ushind uzoefu wakombe utachukua mkondo wake sjui km alinielewa. Vile vile kuna hatar Roma akaishangaza dunia.
 
Jaman,...kwel nmeamin liver ametumwa na kijij...dihhh,aibu hii,..yaan kama mungu vile nilicheza mikeka miwil leo.m1 barca win na liver,ma mwingne barca win na man city,...ila stake kubwa ulikua wa liver win...mambo ni motooo
 
Kuna mdau nilimpa ushauli asjalibu kumpa city ushind uzoefu wakombe utachukua mkondo wake sjui km alinielewa. Vile vile kuna hatar Roma akaishangaza dunia.
Vitawezekana vyoote ila sio roma kumfunga barca mjomba,..maajab ya mess ni 2nd half
 
Barca team hamna nasema humu kila siku...sijui wanarukaruka nini?Si team ya kuiamini sana hii kina UMTITI na viungo wanaoishia ubora wao!!Shenzi wameshachana mkeka wangu wameshindwa ku score wamepata OWN goal
 
Jamaniee naombeni mnifundishe kama sio kunipa ushauri kuhusu hii kitu na njia nzuri ya kubashiri namimi niweze
 
Barca team hamna nasema humu kila siku...sijui wanarukaruka nini?Si team ya kuiamini sana hii kina UMTITI na viungo wanaoishia ubora wao!!Shenzi wameshachana mkeka wangu wameshindwa ku score wamepata OWN goal
Sjakuelewa
 
Ni vizuri sana kuwa na back up ya Mkeka wa dharula au ngumu kumeza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…