hongera mkuuSichezag kona..ndomana niko excited,leo nmecheza kona tuu,halaf leo mchana nmetandikwa sana,so nw angalau nalala kwa aman.132k
pdidy vijana wa Facebook wamekukeep busy kweli kweli siku hz jamvi letu limepoa
Kadi nyekunduWataalam ivi wanaposema In which period will a player sending off.Wanamanisha mchezaji kufanyiwa substitution (kubadilishwa) au wanamanisha mchezaji kutolewa nje kwa kadi nyekundu
.
T.O ni total overWale wazeee wa 1Xbet.. aisee hizi option maana yake nn mbona zinafanana......?View attachment 734269
ahahahah yaani ni raha tu hapa'This is Anfield'
Roma kweli ataishangaza dunia kufungwa goli 7 kwakeKuna mdau nilimpa ushauli asjalibu kumpa city ushind uzoefu wakombe utachukua mkondo wake sjui km alinielewa. Vile vile kuna hatar Roma akaishangaza dunia.
Kupewa kadi nyekunduWataalam ivi wanaposema In which period will a player sending off.Wanamanisha mchezaji kufanyiwa substitution (kubadilishwa) au wanamanisha mchezaji kutolewa nje kwa kadi nyekundu
.
TO total over, TU total underWale wazeee wa 1Xbet.. aisee hizi option maana yake nn mbona zinafanana......?View attachment 734269