Kawa jinga la sikuPole sana mkuu mm pia kasepa na mkeka wangu....
Tumewapiga 'genggeng' 1st half wakadata wapuuzi waleahahahah yaani ni raha tu hapa
Nimeamini game zinazochezwa katikati ya wiki huwa si nzuri nitakuwa nasubili weekend tu....Kawa jinga la siku
Duh kumbe na wewe ni mwenzangu mbona huwa sikuoni jukwaani kwetu kule?Tumewapiga 'genggeng' 1st half wakadata wapuuzi wale
nipe jina la hii app
Mimi mdau haswa...mara chache huwa natembelea jukwaani kuleDuh kumbe na wewe ni mwenzangu mbona huwa sikuoni jukwaani kwetu kule?
Basi sawa tujipongeze kwa kuingia semi finalMimi mdau haswa...mara chache huwa natembelea jukwaani kule
Hakika mkuu....naona umepumzika kidogo kutandaza mikekaBasi sawa tujipongeze kwa kuingia semi final
naona kila m2 anaanzisha kikundi chake cha whtsapp! km ckosea hki cha kwako cha4 au5 muna mpango 2cwe 2naingia humu nin!!?? au lengo lenu kuua hii thread!!?Football Betting Tips
FooTbaLL beTTiNG TiPz[emoji460]
1 won, 2 lost siyo mbaya faida imepatikana.04.04.
Calculated risk, Ngoja nijaribu mzungu kaamkia upande gani !
500.00 TZS return 219,440.00 TZS
-1.00 TZS
FC Barcelona v AS Roma
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
04-04-2018 21:45:
Correct score
4:1
16
- (-)
Liverpool FC v Manchester City
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
04-04-2018 21:45:
Halftime Fulltime
2/1
27.43
- (-)
Jaman hii app inaitwaje waungwana
Pdidy hii applctn inaitwaje??