Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Lakini jamani weekend hasa game za mapema tunatoa angalizo mapema...leo Liverpool ilikua sio wa kuwaamini Kwa direct win..
Kweli kabisa bayern munich pia naona anazingua pia sio kwa kikosi kile cha leo na keshapigwa moja tayari
 
Wadau nilikuwa najaribu ku chase the loss but nimekumbana na kisiki mechi zimeanza hv kuna namna naweza tupia huu mkeka?
 
Huwa tunapaniki tukiona mechi nyingi,tunahisi ni simple kupga pesa[emoji3]
 
Mkuu umenifanya mpaka nishindwe kutype maana imebidi nicheke utafikiri mazuri,dah mi nanyata sana mwanangu alishanipunyua mpaka nywele sina.
Mh sidhani km utaweza aisee maana ukicheki game unakuta nyepesiiii halafu point zimeshibaaaa lazima ukuchokonoe kibubu ila mwisho wa siku unabaki na manyoya mwenyewe kasharuka.
 
Nimekosa laki mbili kizembe sana..... [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20] team moja imechana mkeka
 
leicester nae anachana mkeka na spurs anamfuata kw nguvu zote liverpool anamuiga ati!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…