Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
kuna mwingine alisema bora kubet weekend; wewe tena unaleta habari nyingine. kweli kazi hii ni pasua kichwa!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] ntakacha kubet wikend
Jamani safari yangu imeishia hapo kwa Qarabag Agdam nilimpa ashinde zaidi ya goli moja 2nd half yy kapiga kimoja tu,Basi tena shetani akalale nae.Huyo Toto Africa nahisi nae anataka kuzibua mtaro wa maji taka watu tumwagike maana mwendo wake unatia hofu.Mi kuna ka treni kanasogea sema kanaslide utadhani kanatembea kwenye matope.View attachment 737442
kaniaribia siku huyu umbwa, kuna mdau alitoa tips liverpool, buyern na tottenham all 2+ nikajilipua na 10kHuyu Liverpool jamani duh
Hahahahahahahkaniaribia siku huyu umbwa, kuna mdau alitoa tips liverpool, buyern na tottenham all 2+ nikajilipua na 10k
baada ya kuona haeleweki nikaamua ku cashout, iyo amount iliyokuja ni buku gwala nikachoka kabisa.....
Mkuuu umekuwa milionea ghaflaEvery little helps brothers, tips za JF zimelipa dah. View attachment 737492
Hahahaha dahMkuuu umekuwa milionea ghafla
***** leo nimekosa pesa kizembe....Hahahaha dah
Noma sana, 10k ni 4kg za mchele saafi; mshenzi liverpool kaharibu kilakitu..Hahahahahahah
Hii ni sawa tsh ngapi hapo umemchapa?Every little helps brothers, tips za JF zimelipa dah. View attachment 737492
Yaani woooote kweli dah.View attachment 737478over 1.5 wooote
£1 = 3187.77 tshHii ni sawa tsh ngapi hapo umemchapa?