Pole mkuuMadrid.... Nice na Salzburg wameondoka na mkeka wangu
Pole sana mkuu,View attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
Mapambano ni lazma yaendeleeAhsante mkuu weekend haikuwa poa kabisa.....
But hakuna kukata tamaa Huyu mhindi ni wa kumshughulikia vilivyo aise....
**********BET WOOOOOOOON********In play
Laliga
R.sociadad vs Girona
Yellow card:
Girona over 1 yellow card full time
Odds: 1.45
Stake: 10% OYC
Cheza in play cornersAC Milan vs Sassuolo
Guys vipi huyu AC MILAN ATASHINDA???
weka mwngine bro leo nko sambamba na ww [emoji38]**********BET WOOOOOOOON********
Nipe Tips MkuuCheza in play corners
My AdviceWAKUU NINA KA MKEKA KANGU HAP NILIWEKA TIMU 6,SASA 4 ZIMETIKI,ZIMEBAKI 2,VALENCIA WIN NA SPORTING CP WIN INAKUJA ALMOST ELF 70,SASA JAMAA WANANITAKA NIKAUZE KWA SH 24,VIP USHAURI SAHIHI NI UPI,WAKUU?..View attachment 738393
Hii imenitokea pia juzi kwene wachina nampa mwingne nakuta mwingne, niulimia sanaKuna muda huwa nahisi kama kiini macho, yani leo nilijua nacheza Al AHly nakuja kucheki slip eti niliweka Zamalek na amechana peke ya yani. Sa cjui hata macho yaliangalia vipi wakat lengo lilikua kucheza Al Ahly
Hiiii imenitokea Leo... plan zangu ni kuweka over 7.5 kona arsenal.. nikabonyeza over 8.5 over dahhh n.a. kachana yeye tu mkeka wa millions 4.8 DAHHHView attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
AHSANTE SANA MKUU HATA MM IMAN INANITUMA HIVYO," A BIRD IN HANDS IS MOST BETTER THAN TWO BIRDS IN THE BUSH"..My Advice
Chukua hiyo elf 24
Hii game ya Valencia inawz kuchana
Na zikaishia 8View attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
Pole sana mkuu,
Huyo al ahly niwah kujichanganya kipind flan
Badala ya kumpa win Al ahli wa Saudia Arabia
Eti nkampa Al ahli wa Misri
Jamaa angu ananpgia anambia "BET WON"
Nkicheck Kwangu, inasomeka "LOST"
NLIUMIA SANA AISEE
Mkuu milioni ngapi?Hiiii imenitokea Leo... plan zangu ni kuweka over 7.5 kona arsenal.. nikabonyeza over 8.5 over dahhh n.a. kachana yeye tu mkeka wa millions 4.8 DAHHH
Kwa tabu sana vijamaa viliwakazia adi mwishoKashinda mkuu