Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubalii kufaa kishujaaaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee jana nilizingua kuuza mkeka wangu kwa benfica pesa ikashuka nikaona isiwe kesi nikapotezea....

Aise jamaa mwisho wa siku waligonga mpiga kweli wakasawazisha dakk za mwisho.... na nikala pesa maana alibaki yeye peke yake [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Argentina. Primera B Nacional
Villa Dalmine - All Boys (1 Half)

Total Under (0.5)

Odds
1.43
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…