Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo
 
Naombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo

Chomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!

BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.
 
Chomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!

BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.
Nipe tips nyingne za half time ana full time
 
Nipe tips nyingne za half time ana full time
half time - Viborg ashinde either kwa 0-1, ama 1-2 (zaidi ya Fremand)
then Kipindi cha pili Fremad Amager aanze yapangua adi hamzidi, either 2-1, ama 3-2 ambayo Full time itakuwa Home time win.

Option ngumu sema inalipa sana.Lazima uwe risk taker kidogo,
Mfano mzuri Refer game ya Man city na Liverpool - 1/2
Halftime - Man city won
Fulltime - Liverpool akawon.
 
Tunaita ngumu kumeza...
 
Naijua ila kwenye premier betting haipo kama unayo nyingne fresh
 
Tunaita ngumu kumeza...
 
Slip 3
-Tromso IL v Stromsgodset IF
Totals 2.5 - Over1.66

-Nykobing FC v Vendsyssel FF
Totals 2.5 - Over1.56

-NEW YORK CITY FC v Real Salt Lake
Totals 2.5 - Over1.55

-San Pablo Burgos v Morabanc Andorra
Under Over 169.5 (Inc.Overtime) - Over
Total odds: 6.94
 
Chomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!

BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.
Kaka Kipusa Fremad 1st half anaongoza 2-0. 2nd half Viborg akifanya come back ya 2-3 au 2-4 we jamaa utakuwa mchawi. Let's wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…