Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juve hawez kufuzu

Madrid ni timu inayofungika kirahisi

Ila

Madrid ni timu ambayo ni ngumu sana kuizuia isikufunge goli.

SHUGHULI ITAKUA PEVU KWA JUVE MARA TU MADRID ATAKAPOPATA GOLI Moja.

****Nna imani watatoka mchezoni, na morali yao itashuka sana****

Wataanza kucheza foul za kipuuzi, zitakazoweza kuwagharimu

Hii itapelekea Madrid kupata nafas yakufunga zaidi.

My Take
Hii game second half itakua upande WA madrid

Double chance kwa madrid full time itafaa sana japo kwa stake ya tahadhari maana odds yake inaridhisha.
 
Sawa mwalimu kashasha
 
Upepo wangu wa betting wik hii umekua mbovu wa kutisha,ila naamin naungana na wazee wa betting dunia nzima kua siko peke yangu nilie chezea vipigo vitakatifu..usikumwema wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…