[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimewithdraw pesa leo 1×bet dah! Ila kwa mbinde sana maana niliambiwa niwasiliane nao yaan callback dah nilivyopokea nkakutana na kiingereza cha hatar nikaanza kusema yes mwanzo mwisho mpaka wakanipa sms code.
Ile walivyo anza kupga tu naona namba ya nchi za nje nkaanza kucheza kiduku nikataman kujikojolea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee, Vipi ile namba ya Kitambulisho cha Uraia uliijaza?Ile walivyo anza kupga tu naona namba ya nchi za nje nkaanza kucheza kiduku nikataman kujikojolea.
Nilijaza ile namba ya chini kabisa walivyo piga wakasema niwatajie tena pamoja na registration name.Mzee, Vipi ile namba ya Kitambulisho cha Uraia uliijaza?
Au ulijaza ipi?
Mkuu sevila na bayen umeishajeDk tisini Madrid wanapata penalt
0-0Mkuu sevila na bayen umeishaje
ZikaDroo! Droo ipi? Ya 0-0? Kama ya 0-0 umeliwa.Hvi ukiweka timu zinafungana afu zka dro hapo inakuaje wakubwa
Duuuh...! Mbona wana Complicatisha sana mambo[emoji134] !Nilijaza ile namba ya chini kabisa walivyo piga wakasema niwatajie tena pamoja na registration name.
0-0 FTMkuu sevila na bayen umeishaje
Kabla ya kuongea nao unywe yai bichi ili kulainisha ulimi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh...! Mbona wana Complicatisha sana mambo[emoji134] !
Kampuni nzuri ila![emoji134] [emoji23]
Huyo refa hii kitu itamtafuna maisha yake yote..mse.nge sana refa,..Wakuu,
Kiukweli mm ni madrid fan, Damu Damu
Ila kiuhalisia, Bila kutanguliza mahaba mbele.
HII GAME YA LEO, MADRID AMEFUZU KWA MBELEKO YA MAREFA.
****PENALT KICK HAIKUA HALALI****
Hahaha...Huyo Dem unapiga naye story vipi? Kwa kuCharti ama?Kabla ya kuongea nao unywe yai bichi ili kulainisha ulimi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nawahama japo huwa napga nao story maana kunadem kule kanipenda sijui kama ntawahama sababu ya hyo dem roho inasita.
Sitaki utaniibia dem wangu huyo ww.Hahaha...Huyo Dem unapiga naye story vipi? Kwa kuCharti ama?
Ama ulivyoongea nao leo kwa Callback[emoji23]
Najua na mimi zamu yangu itafika ya kuongea nao[emoji23]. Nitajie jina lake nimuulizie[emoji23]
[emoji23]Sitaki utaniibia dem wangu huyo ww.
Kweli huo utaratibu sio ni ovyo mno dah![emoji23]
Ila huo utaratibu wabadilishe, watume SMS CODE kama Zamani tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji23]Kweli huo utaratibu sio ni ovyo mno dah!
Yaani kama hujasoma hata darasa moja na unatumia hyo unaweza pata malaria ya ghafla.
Sijafurahia kabisa kwa jinsi tulivyofuzu semifinalHuyo refa hii kitu itamtafuna maisha yake yote..mse.nge sana refa,..