Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kesho ni Lucky Friday kwa watumiaji wa 1xbet, Utapewa bonus ya 100% ya kiwango utachodeposit...Yaani ukiweka laki Utapewa bonus ya laki

Wengi mnadanganywa bonus ya 1xbet ni ngumu Sana kuipata ila haina ukweli wowote Sababu masharti yake ni mepesi sana...na huwa naitumia sana ijumaa kupata mtaji wa weekend bila kutumia hela yangu direct.

Ninachofanya nadeposit let's say Laki napata bonus ya Laki free najitahidi kubet hiyo bonus ukila unarudishiwa Laki yako kwenye main account
 
12/04/2018
**********
(Bila mbwembwe za pesa Mingi)
Olympique Marseille v RB Leipzig (Unaeza play option 2 slip tofauti either Leipzig awin / Marseille )
3 Way - 2 3.09

CSKA Moscow v Arsenal FC
3 Way - 1 2.96

Sporting CP v Atletico Madrid
3 Way - 2 2.01

RB Salzburg v Lazio Roma
3 Way - 1 2.18

Total odds - 40.08 or 29.05
xxxxxxxxxxxxxxxxxx

12/04/2018
(Tukieka zile mbwembwe zetu)
Olympique Marseille v RB Leipzig
Halftime Fulltime - 1/2 28.25

CSKA Moscow v Arsenal FC
Halftime Fulltime - 1/1 4.79

Sporting CP v Atletico Madrid
Halftime Fulltime - 2/2 3.12

RB Salzburg v Lazio Roma
Halftime Fulltime - 1/1 3.3
odds - 1000 or 168.67 (ata ukitest na Jero still laki5 inaweza itika ama kilo 1 na..)
xxxxxxxxxxxx
Apo kwa options 4 ukistake hata jero jero ukosi kesho ya kulisha familia na ndugu.(buku2 tu)
Option 1 ukitupia Jero- total odds 40.08 returns - 40,000/=
option 2 ukitupia Jero -total odds 29.05 returns - 29,000/=
option 3 ukitupia Jero -total odds 1000 returns - 500,000/=
option 4 ukitupia Jero -total odds 168.67 returns - 84,300/=
Jion njema Wadau.(Tuisubirie Nguvu ya buku 2)
xxxxxxxxxxxxxxxx
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata kwa pesa yako ungekuwa unakula sana, unatakiwa ubeti sio chini ya game tatu zenye odds kuanzia 1.4 na kuendelea na unatakiwa ufanye hivyo mara tatu ndipo utakapokuwa umefanikiwa kuikomboa bonus yako
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata kwa pesa yako ungekuwa unakula sana, unatakiwa ubeti sio chini ya game tatu zenye odds kuanzia 1.4 na kuendelea na unatakiwa ufanye hivyo mara tatu ndipo utakapokuwa umefanikiwa kuikomboa bonus yako
Ninachojua unatakiwa ule Mara tatu ya Bonus yako.Mfano umepewa 10,000 ukabet kwa Timu tatu zenye odd zaidi ya 1.4 ukala 40,000 unarejeshewa 10,000.Hiyo ya kubet Mara 3 ni ngeni kwangu.
 
Ninachojua unatakiwa ule Mara tatu ya Bonus yako.Mfano umepewa 10,000 ukabet kwa Timu tatu zenye odd zaidi ya 1.4 ukala 40,000 unarejeshewa 10,000.Hiyo ya kubet Mara 3 ni ngeni kwangu.
sijaelewa hapo inamaana kama umepewa 10000 bonus ukazibetia mechi tatu zenye hizo odd ukiwini inakuaje?
 
sijaelewa hapo inamaana kama umepewa 10000 bonus ukazibetia mechi tatu zenye hizo odd ukiwini inakuaje?
Mfano umepewa 10,000 ukabet ukala 70,000 unatakiwa ubet tena 20,000 ili uspend Mara tatu ya bonus yako,then utabakiwa na 50,000 kwenye account wao watakulipa 10,000 yako..Utakua umekidhi vigezo..
Yaani ukipewa 100 spend 300 kwenye bonus account wao watakulipa 100 yako.
 
sasa mara tatu ya bonus yako ni 20 au 30?
 
sasa mara tatu ya bonus yako ni 20 au 30?
Ni 30..Simple tu mkuu Elewa logic Yao ukipewa 100 spend 300..so ukipewa 100 bet nayo mpaka spending zako zifikie 300 then utapewa 100 yako..hata kama kwenye spending Zako utaliwa bado itaccount tu..

Mimi bonus nishafanikiwa Mara 3 kuipata..So weekend hii sina mtaji kesho nadeposit let's say Laki napata bonus najitahidi kuiredeem nipate mtaji wa weekend..Nikishindwa Sio mbaya umejaribu.
 
daah naona ina compication nyingi sana naachana nayo
 
Kwanini wakati wa kuWithdraw hela, hawatumi SMS CODE hadi Uongee nao?
 
Duuh! yaan ule 70k, alafu waje kukupa 10k[emoji134]

Maajabu hayo.

Si bora wasinipe hiyo Bonus.
 
Marseille keshawekwa kimoja huko.

Obvious,
Najua ataongoza corners kwny first half, odd zake tamu

Ila ntazid kusimamia msimamo wangu wa Kumpiga Ban na kutombetia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…