theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Marseille naona goal zishafika tatu mimi niliweka under 1.5Nani kachana?
Timu ya kipuuzi sana hiyo,Marseille naona goal zishafika tatu mimi niliweka under 1.5
Itabidi niwaoige ban maana wamefungana kisoro sana....Timu ya kipuuzi sana hiyo,
Mm nmekua na gundu Nayo tokea mechi ya kwanza tu imeshiriki UEROPA mwaka huu
Sijawahi kula hata slot moja, nliocheza in play inayomuhusu Marseille.
HILI litimu limeongoza kwa kunifilisi pesa zangu kwa kila mechi linayocheza.
MAAMUZI NILIYOFIKIA NI KULIPIGA "BAN"
Mpuuz sana Marseille.Itabidi niwaoige ban maana wamefungana kisoro sana....
Huyu nitampiga kufuri kama atalanta maana kuna mechi mbili alinyima pesa mkuu...
Arsenal nae keshakojolewa tayari....Athletico keshawekwa kimoja huko.
Michuano ya ulaya MSIMU HUU ina sarakasi sana.Arsenal nae keshakojolewa tayari....
Ona Sasa,Marseille keshawekwa kimoja huko.
Obvious,
Najua ataongoza corners kwny first half, odd zake tamu
Ila ntazid kusimamia msimamo wangu wa Kumpiga Ban na kutombetia
Keshakua mpuuz huyoZamalek ovyo sana
Huwezi amini nilimpa double chance ya Win/Draw ili kukamilisha tu mkeka afu kaharibu yeye tuKeshakua mpuuz huyo
Zamalek ovyo sana
Ha ha ha .....Wamepigwa Dk za mwisho na kitimu cha kibwege sana hao Shuwain Kenge wa bluu
Achana na Lazio unaona ujinga wanaofanya Atletico Madrid?...Mtu kabaki na goli anapiga nje mara 2?Ha ha ha .....
Yajayo yanasikitisha.
Mkuu, unamwona Lazio lakini?
Inakera sanaAchana na Lazio unaona ujinga wanaofanya Atletico Madrid?...Mtu kabaki na goli anapiga nje mara 2?
Ha ha ha .....
Yajayo yanasikitisha.
Mkuu, unamwona Lazio lakini?