Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wafaransa !!!!!! tena daraja la pili....ni maaandazi hatari.......yeyote anakalishwa......
 
Raimundo xyz123 asee tukutane hiyo live wandugu ile ya pasaka ishaniishia.. natafuta ya weekend hii sasa
 
Last edited by a moderator:
Wajameni kwa heshima na taadhima kubwa naomba nilete ombi langu kwenu....ninaombeni odds tano tu za kesho. Natanguliza shukrani. Nb. Nimechoka kuliwa jamani .

kesho ni kama hivi
Tottenhum WIN
Juventus WIN
Real madrid WIN
Bayern Munich WIN
ipswich WIN
Shake 04 WIN
 
CC: Raimundo, steph curry, sumve2015 & Co

Hapo vipi
 

Attachments

  • 1428698687525.jpg
    25.9 KB · Views: 220
It was a challenging day and week kwakweli kwa mara ya kwanza nimempiga muhindi ila nilliweka pesa ndogo sana
Estac troy win
PSV win
Bournemouth win
Dundalk win
Kwa mara ya kwanza kwa muhindi.

Ndugu yangu mzungu game zinaendelea

ALUTA CONTINUA.
 
It was a challenging day and week kwakweli kwa mara ya kwanza nimempiga muhindi ila nilliweka pesa ndogo sana
Estac troy win
PSV win
Bournemouth win
Dundalk win
Kwa mara ya kwanza kwa muhindi.

Ndugu yangu mzungu game zinaendelea

ALUTA CONTINUA.

nasemaga hiviiii KWANI UKIBETI 5000 UPATE 30000 KUNA HASARA!!!!! 5000 UPATE 15000!!!! UNA HASARA.......!!!!!! TATIZO WATU MNATAKA 1000 ULE 500000 ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…