Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
20180415_073026.jpg
 
Jamnai naomba kuuliza wale wanaotumia app ya premier betting,yaani jana ndo nimeidownload nikaregister kila kitu tena usiku nashangaa asubuhi hii inaniletea new update mh hivi ndo ipo hivi au je hii version niliyokuwa nimedownload ilikuwa na siku mingi kidogo?mh ntaanza kuiogopa sasa maana huu usumbufu huwa siupendi.
Hiyo ya kudownload inakuwa ni old version.
Ukisha install baada ya muda wanatuma updates. Kama wewe ni camaria huwezi kuogopa. Update ufurahia option za kutosha
 
In play

Australia a lig

Western Sydney vs Adelaida

Goal kick: Western sydney win or draw at full time

Odds: 5.2

Stake: 10% oyc

NB: Western Sydney washakula red card
 
Back
Top Bottom