Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jumapili Mbaya hii Man u jamani kweli mmenichania mkeka hata kufikisha kona 9 tu
 
Leo kanji ndo kaimalizia faida yangu yote niliyotengeneza wik iliyopita,..kwa maana hyo,naanza 1 kesho,..nw kanichanganya kichwa,bora ni watch muv tuu...

Na kuanzia kesho,kuweka mikeka ni big NO,..mtaj mpya na ni inplay mwanzo mwenga.

Usikumwema wakuundugu.
 
Man u [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Manu 1.15 X 6.50 westbromo 15
Shikamooo kanji[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Dah,

Pole sana mkuu
 
Man u [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Manu 1.15 X 6.50 westbromo 15
Shikamooo kanji[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Man utd timu yao nzima ni mabeki

KILA MECHI NI KUPAKI BASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…