Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani psg hana corner hata moja???.. Duuu shikamoo muhind.. Naona umeamua kunifuata kila mahali
 
Hii game ya Roma inaonyesha kila dalili ya Kuisha kama game ya Napoli
 
Yan nimewapa PSG corner 5.5 ... Naona kamkeka ndo kanachanikaa..duuu
PSG akishatangulia goli nyingi za mapema.

Ni nuksi tupu

Yaan
Kwenye upande wa corner inabd TU ufunge hesabu

Yuko na wenzie km Napoli, spurs, feyenood na man utd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…