Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

faida ya 50,000 kwa mtaji wa laki tatu? Maaaan your kidding
Hii ni kwa kila siku ,piga hesabu kwa mwez una kiasi gani??? Kama sio zaidi ya 300,000/=...

Wewe biashara hujawahi fanya inaonekana yan unaanzsha biashara af unataka kila siku upate faida zaidi ya mtaji uloanzsha nayo hyo biashara????????????
 
Ndo maana Jana nilisema niweka burn team ngapi kila siku team mpya inatokea kuniua Sasa kweli ngoja tu niachane hii mishe kwa kwelii khaaaa
Usikate tamaaa mkuu mm mwenyewe kuna kipindi mzimu uluniandama mpka niktaka kuacha kubet lakin nikakaza nikahamia betting site nyingne mpka sasa namshukuru mungu kila wiki sikosi jiwe mbili kwahyo hyo hali huwa inatokea tu
 
Slip ya kwanza rio aves kachana peke yake.....

Slip ya pili ajax ii na rio aves wote walishindwa kuongeza goal moja moja...

Mapambano yanaendelea....
 
17-4-18
O2.5
Inter
Rep
Celts
Leverkusen

Maxb
[: GG
Villarreal
Celtav
Leverkusen

[ UND 2.5 HT
CARPI
Emily
Cesena

[ Xft
Ternana
Spezia

OV 2.5
Dubai DC
ZILE
Sydney fc

[ OV 3.5
SYDNEY DC
DUBAI FC
 
Unacheza zile electronics games toka premierbet ukitumia pc utaziona.
Sema zina trick zake unatakiwa uzijue na sio kucheza tu hovyo hovyo.
Mimi nilikaa miaka mitatu nazicheza mwsho wa siku nikajua.
Nazijua vizuri sasa ndo nataka kujua hizo trick! Mm nishacheza virtual za kampuni zote ila naliwa tuu sasa tupe trick tumlaze njaa mhindi
 
Nazijua vizuri sasa ndo nataka kujua hizo trick! Mm nishacheza virtual za kampuni zote ila naliwa tuu sasa tupe trick tumlaze njaa mhindi
Ok sasa fuatilia virtual footbal league vfl ya premierbet na uwe unabashr over 1.5 tu na si vingnevyo.
Hii wameweka option ya kuona team inayo score magoli mengi na league table ipo hapo ushindwe wewe tu kupiga mahesabu yako tu.
Na pia fuatilia kila timu zikifka round ya 12 hapo ndo utajua team zinazo pata over 1.5[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kwenye mkeka unaweka timu ngapi? Moja moja au ?
 
Mwenye Bankocep ebu atupie tujue wmetokaje leo,...nataka nione upepo wao
 
Kwa vfl weka mechi moja tu aiseee uwe na uhakika zaidi.
Hata ukipata pesa kdogo sawa tu ili mradi upate ya kula siku hyo.
Ubaya wa Virtual akianza kukupiga yeye dah anakumaliza, ila unaweza shangaa unampiga yeye alafu kuna muda ana change ghafla na kuanza kukupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…