Kaka vip na infometion za kujua nan atacheza na nan hatacheza unazipatia wap sory nawasilisha katika kupambana
Ni kutembelea majukwaa mbali mbali yenye mijadala kuhusu timu husika.
Au unaweza kua unatembelea official websites za club husika.
Huwa kunakua na mijadala mbali mbali kuhusu mechi husika.
Pia huwa kunakua na press release alofanya kocha na waandishi wa habar baada ya mazoezi ya asubuh
Ukizisikiliza kwa makini
Hizi press release ndo zinakuaga na ukweli kabisa wa nani nani wana uwezekano wa kuwepo kwny mechi husika jioni yake.
Ila hata kama kocha hajataja moja kwa moja,
Unafanya TU kutafta list ya wachezaj walohudhuria mazoezi asubuh.
Na probably, ukiona mchezaj hajaudhuria mazoezi yale ya Massa 12 KABLA ya mechi.
Moja kwa moja utajua tu huyo mchezaj ana uwezekano mkubwa sana wa kutokucheza.
Maana kwa kawaida ya ni ngumu sana kwa kocha kumpanga mchezaj ambae hakuhudhuria mazoezi ya Massa 12 KABLA ya mechi.
Maana hayo mazoezi ndo huwa maalum kabisa kwa kuifanyia practise formation na maelekezo ya kocha watakayoenda Kayafanyia kazi kwny mechi husika masaa machache yajayo.
Ni hayo TU.