Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

Italy

Spal vs Roma

Yellow card first half: Roma under 1.5

Odds: 1.55
 
In play

Italy

Spal vs Roma

Under 1.5 goals first half

Odds: 1.42
 
WAKUU BAADA JANA MONACO KUNINYIMA 1.3 ML,LEO NIMEANDAA MZIGO MWINGINE WA 1.2 ML KWA 5000 MWENYE UWEZO AFUATE.
Ushaur:
Napendekeza ungekua unacopy & paste in word format.

Haya mambo ya mpaka kudownload PDF hayajakaa vizur mkuu

Hasa hasa kwa MTU anaetaka kufanya kupreview kwa haraka haraka.
 
Huyu Muhindi anadawa aisee
Nimebet mechi 20
Mechi 2 tu zimenichania.
Ipo siku yake tu. Dadeek
Uko wapi uo mkeka wako?Ebu just imagine ktk hizo team 20 ungeweka hapa alafu wale wa kuokota team mbili mbili au tatu si wangeweza kua wameokota katika hizo 18 ulizopata?Muwe mnaweka iyo mikeka humu ndio maana ya hili jukwaa. We ukiweka mkeka wa team 10, kuna mwengine wa style ya kuokota team chache anaweza kuokota chache na kumpiga muhindi hata kama wewe wako utachanwaa na team moja hivyo bado muhindi ataliwa
 

Ni kweli mfano mimi jana nimeokota okota kwa P Didy nimemfumua Muhindi mpunga mwingi jana
 
In play

Bundesliga

Hannover vs Bayern

Yellow card: over 1 yellow card at fulltime

Odds: 1.8
 
In play

Bundesliga

Entranch frankfurt vs Hertha berlin

Corners: over 3.5 at fulltime

Odds: 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…