Karibu sn mkuuNilipotea kwa muda. Ila nimerudi wandugu
Mobdro hata NBA inapatikana?
Vipi kuhusu NHL na yenyewe ipo naweza kuwa naicheki live?
Maana ukiachana na futbol hiyo ndio michezo yangu ninayoipenda sana
Monaco kajua kutuua asee.Mmh!!
Uyu Monaco huyu!!!
Nimekosa 400000 hapoDah, inauma sana[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Nimekuelewa kiongoziUko wapi uo mkeka wako?Ebu just imagine ktk hizo team 20 ungeweka hapa alafu wale wa kuokota team mbili mbili au tatu si wangeweza kua wameokota katika hizo 18 ulizopata?Muwe mnaweka iyo mikeka humu ndio maana ya hili jukwaa. We ukiweka mkeka wa team 10, kuna mwengine wa style ya kuokota team chache anaweza kuokota chache na kumpiga muhindi hata kama wewe wako utachanwaa na team moja hivyo bado muhindi ataliwa
Na hii pia iko vizuri LIVE NetTv hata kwenye 3G network inasukumaMobdro hata NBA inapatikana?
Vipi kuhusu NHL na yenyewe ipo naweza kuwa naicheki live?
Maana ukiachana na futbol hiyo ndio michezo yangu ninayoipenda sana
Mobdro hata NBA inapatikana?
Vipi kuhusu NHL na yenyewe ipo naweza kuwa naicheki live?
Maana ukiachana na futbol hiyo ndio michezo yangu ninayoipenda sana
Italy waseminary sana. Mi nilitoa Big BAN kwa ligi loteAC Milan soon ntawapa life ban.
Monako kachana mikekaMmh!!
Uyu Monaco huyu!!!
Inabidi kucheka tu, kweli yajayo hata kama yanaumiza lkn yanafuraisha.Najuta kuifahamu timu QUMER kama AC Milan.
Juve hakuna... Last match alisawazishiwa usiku wa manane match ishaisha. Mimi hawa wa Italy nimewapa BAN. Mpaka next seasonTimu za italy waga sizielewagi maybe juve