Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uzidi Kubarikiwa sana mkuu pdidy
 
Ha ha ha

Wanapata sana tabu sana kujua wee ni MTU wa namna gani.

Watazidi kuisoma Namba na viroho vyao vya vibaya.

Wee zidi kutumwagia TU vitu humu mkuu.
 
Betting ipi yenye sheria izo....
 
Mbet wahuni sana, hapo kwenye game ya barca na sevilla wamefanya uhuni flan kwenye home anda away.
 
Wandugu ufafanuzi kidogo kwny 1xbet,
Jana game ya Barcelona niliweka option ya Paulinho not to score a goal at anytime. Na aliingia sub dk 70hv na hakufunga, sasa nakuta 100% refund hii imekaaje?
Cc

Deeppond, Mr. Wise, asrams na wote
 
Wandugu ufafanuzi kidogo kwny 1xbet,
Jana game ya Barcelona niliweka option ya Paulinho not to score a goal at anytime. Na aliingia sub dk 70hv na hakufunga, sasa nakuta 100% refund hii imekaaje?
Cc

Deeppond, Mr. Wise, asrams na wote
Inategemea na betting company mkuu,kwa bet365 mchezaji akiwa hayuko ktk starting lineup bet inakua void.
 

Nilichukua kama zilivyo jana hizi Asante
 
Nashukuru kwa ushauri Chief. Hawa QUMER sina hamu nao kabisa. Yaani wamenirudisha nyuma kwa kiasi kikubwa sana. Najuuuta kuwafahamu hawa mama wa kihindi. AC Milan walikuwa nyumbani wakicheza na timu ambayo tayari imeishashuka daraja na wanapigana wakacheze Europa mwakani, nikadhani wakataza badala yake wanabet kufungwa. Haya matimu ya Italy ni maQUMER kabisa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…