Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu we acha tu yaani hapa naitolea jicho hiyo 65K maana jamaa kaishaninyang'anya karibu 240K hizi siku 3 tu yaani hana huruma kabisa nyau huyu
Mrusi anatabia ya kupiga mkwara na sell yake au kuweka odd kubwa ili watu waogope na kuweka odd kiduchu ili ujiamishe afu ndo anapita na stake yako fasta. Hapo kakupa sell ndogo ili uogope kumbe hamna kitu wewe komaa nae tu mpk mwisho
 
Mrusi anatabia ya kupiga mkwara na sell yake au kuweka odd kubwa ili watu waogope na kuweka odd kiduchu ili ujiamishe afu ndogo anapita na stake yako fasta. Hapo kakupa sell ndo ili uogope kumbe hamna kitu wewe komaa nae tu mpk mwisho
Hicho ndicho kilichobaki Mkuu ni kukomaa nae tu hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…