Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilichokiona sitaki kuamini macho yangu jamani yaani hakuna livescore inayoonyesha game hii japo ipo kwenye list lakini naingia 1xbet naikuta ipo dk 43 Sotra kapigwa 1 so mkeka umeshapasuka kwa kifupi.
Tafuta kwanza matokeo kwenye source tofauti tofauti
 
Pole sana mkuu kuna wakati huwa nahisi huu mchezo unatawaliwa na nguvu za giza yani watu wanajua nn kinachoenda kutokea kabla ya game,ndio maana hata hawakujisumbua kuongeza dau ili kukushawishi ununue sababu walijua hutoboi.
Mkuu najiuliza mengi yasiyo na majibu maana.But anyway

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Duuh, anaona kashapigwa hapo.. So anakutega tu... So angejitahid angalau nusu ya return
 
kausha tu mkuu hakuna namna jipange upya
Mkuu nadhani kinachonisumbua sio hilo 1000 langu alilolikula wala hiyo 65K aliyoipeperusha but nataka nijaribu kuwa qurious ktk hii issue possibly kuna kitu tunaweza kugundua.
 
Basi tu possibly na yeye ni participant ktk biashara hii ya ununuzi wa mechi so tutakuwa tunatwanga maji kupambana na mbabe ambaye anatuwekea baadhi ya games ambazo anajua ameshazifix.Japo sina uhakika but he's somebody not to be trusted to that much
nafikiri kupoteza kunaathiriwa na choices tunazo fanya
kw mf wewe uliweka 1x first half wakat mwingine kaweka 12 swali linakuja huyo aliyeshinda tunaweza sema kashirikiana na muhindi?
 
Hivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
 
Pole sana mkuu kuna wakati huwa nahisi huu mchezo unatawaliwa na nguvu za giza yani watu wanajua nn kinachoenda kutokea kabla ya game,ndio maana hata hawakujisumbua kuongeza dau ili kukushawishi ununue sababu walijua hutoboi.
Duuuh p1
 
nafikiri kupoteza kunaathiriwa na choices tunazo fanya
kw mf wewe uliweka 1x first half wakat mwingine kaweka 12 swali linakuja huyo aliyeshinda tunaweza sema kashirikiana na muhindi?
Sidhani kama inawezekana but issue inabidi tusubirie kupata livescores sehemu nyingine maana hiyo game live score zingine karibu zote haionekani sijui kama Flash wameshaweka matokeo yake.
 
Hivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
haahahah kwenye terms na conditions zao kuna kipengele kinasema
should we notice any kind of blah blah
we reserve the right to nullify your bet slip without prior notification hapo nimejaribu kuunga unga tu maana legal language kwa tulio ishia madarasa ya chini ya mwembe ni shiiida haiko hivyo exactly ila wakimaanisha wakigundua kuna udanganyifu wowote wanaweza kuifanya bet yako kuwa invalid na bila kukutaarifu wala kukushirikisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…