Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
mkuu wewe ni mzoefu kwenye hii biashara kosa ulilofanya moja tu ambalo mimi ningekuwa nisinge kosa kote. wewe umeona imebaki timu moja. ungeiendea hiyo mechi na efu kumi mkononi ukaipa iyo nyingine win or over 0.5 ht. odd zingekuwa si chini ya 3. kwa hiyo timu kushinda ht. ungepata kidogo. kama angechana ungepoteza 10000, lakini ungepata odd 65.Mkuu Net Sotra ni mbabe zaidi ya Brann II na kwenye ligi yupo nafasi ya2 huku Brann akiwa nafasi ya 5 afterall Sotra yupo home ground lakini yote tisa nimempa option ya 1X firs half yaani ashinde au asuluhu hicho kipindi cha kwanza sasa ndo nimekuwa nikijiuliza kuna nn mpaka mrusi ashindwe kupanda dau wakati imebaki hiyo game moja tuu?
Daaah hii nimeipenda aiseee iko vizur sema pesaHivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
Mmmh ngumu kumeza tatzo malipo asipowalipaHivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
Hahaaa,ni kweli mkuu inawezekana kuna kitu kipo nyuma ya mchezo huu ambacho hatukifahamuMkuu nadhani kinachonisumbua sio hilo 1000 langu alilolikula wala hiyo 65K aliyoipeperusha but nataka nijaribu kuwa qurious ktk hii issue possibly kuna kitu tunaweza kugundua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
Hahahahaha sawa nashukurru kwa idea but ya leo kali mkuuBut anyway mapambano yaendelee tu.mkuu wewe ni mzoefu kwenye hii biashara kosa ulilofanya moja tu ambalo mimi ningekuwa nisinge kosa kote. wewe umeona imebaki timu moja. ungeiendea hiyo mechi na efu kumi mkononi ukaipa iyo nyingine win or over 0.5 ht. odd zingekuwa si chini ya 3. kwa hiyo timu kushinda ht. ungepata kidogo. kama angechana ungepoteza 10000, lakini ungepata odd 65.
mimi ndio huwa nafanyaga nikiona imebaki match moja tu kwenye mkeka
[emoji3] [emoji3]Daaah hii nimeipenda aiseee iko vizur sema pesa
BET WOOOOOOOONWenye imani hela ziko hapa leoView attachment 876519
Hahaa, inakuwa siri mkuuhaahahah kwenye terms na conditions zao kuna kipengele kinasema
should we notice any kind of blah blah
we reserve the right to nullify your bet slip without prior notification hapo nimejaribu kuunga unga tu maana legal language kwa tulio ishia madarasa ya chini ya mwembe ni shiiida haiko hivyo exactly ila wakimaanisha wakigundua kuna udanganyifu wowote wanaweza kuifanya bet yako kuwa invalid na bila kukutaarifu wala kukushirikisha!
Duuuh nimeukosa huuoBET WOOOOOOOON
waone kuna watu kama 70 hivi wamebet correct score kutoka nchi moja? lazima washtukie mchezoHahaa, inakuwa siri mkuu
unajiongeza mkuu tunatumia akili na sio watu eti kibao wote tunafata kitu kimoja.waone kuna watu kama 70 hivi wamebet correct score kutoka nchi moja? lazima washtukie mchezo
Hahaa, halafu sijui Kwa nini timu zenyewe hazitaki kubeti.. wanajipangia wao matokeo tu. wachezaji wote wanatandika mikekaBilget katoa wazo zuri mfano tukinunua wawe 0 - 0 alaf wote tuweke No first team to score odd znakiwaga hadi 29 kama ni game kubwa hapa ukijiwekea 2 million tunatoka
Inatokea ila mkuu kwa izi ligi za kawaida and kwa washika dau wakubwa ,sa mfano mtu ametia mamilioni ili ashinde mara mia ya hiyo stake yake anashndwaje iyo ishu..kununua mech sio lazma wafungwe tu..anaeza ata chonga na refa kwa ishu za red card labda etc... Ka ile ya ronado uefa ile nahisi refa atakua alibeti ronado apewe red hahaha (just kidding men) ... Ila ni wazo tu bro..im not an amateur kwenye hii platform bro..Hapana sio kweli kuuza mechi kwaninuko uwanjan mbona jana barcelona katoka bila huku wakiwa nyumban