Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Dah nimecheka sana mkuu japo kuna Pinch flani naifeel moyoni mwako but umefanya maamuzi sahihi sana ambayo unaona yanakufaa.Binafsi niko njiani pia japo siondoki mazima ila pia ni hadi arudishe pesa yangu aliyokula and I promise bim he will refund it indeed.Options zake nyingi pia zimekuwa mtihani sana lakini pia bookmakers wake "WAMEVUKA MIPAKA YA KUKABA" mpaka inabidi tuwakimbie ila binafsi nikiwahama nitawatumia kama Desa au Chabo la kuweza kufanyia kazi ktk kampuni mpya nitakayohamia.
 
me mwenyewe nipo tena princess kwa muda
 
me mwenyewe nipo tena princess kwa muda
Haki ya nani tutamkimbia wengi kama hao bookmakers hawatapunguza kubana atabeti mwenyewe tu maana maana ana vi option viiingi but vingi havina maana coz havina odds hivyo anatubania kwenye options ambazo ni afadhali lakini kumbe na yeye ndo alipogongea kigingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…