Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Drop timu kama kumi hapa.
Kamari haramu tunazoliwa nyingi kuliko tunazopata mnavutwa taratibu taratibu baadae tunakolea tunaishia kwenye makasino na hawa jamaa wa hapa bongo wanapunja sana kwenye odds kwa sababu gaming boards zetu zinakula nao mi nlikuwa na bet online ladbrokes nikaona tofauti kubwa odds za kampuni zetu na huko nje. Huko nje wenzetu wanakuwa kidogo fair kuliko huku. Huku wanatukamua kabisa. Ntakupa mfano kama kuna mechi tano majuu odds ni 1.8 x 1.6 x 2 x 3 x 2.4 = 41.472 hapa bongo wakikupunja pointi mbili mbili tu angalia tofauti 1.6 x 1.4 x 1.8 x 2.8 x 2.2= 24.83. Bora tubaki kushangilia tu kuliko kukamuliwa tunajiona.
Ni mafuriko mpaka huku mkuu,, Tunasombwa na maji kila kukicha
Ila wewe ni baharia, nadhani hutosombwa na maji kamwe!
Hapana Arushaone leo muhindi kanisomba na maji yaani haifai hata kuhadisia. Hapa nipo hoi, sio mimi tu sema wengine mpaka wapige ndio utawaona humu wakirudisha majibu ukiona kimya basi ujue kwisha kazi... 🙁
jana ilikua siku mbaya sana
***** southmpton kanichania mkeka wangu leo, pumbaf zake!!!
hhaah!
barca Chali, B.Munich Chali tegemea misiba kila Kona.
Naomba kukuliza eti fourth fold, trixie maana yake n nn?
Rockcity native
Naomba kuuliza kuhusu fourth fold na double na trixie