Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kamari haramu tunazoliwa nyingi kuliko tunazopata mnavutwa taratibu taratibu baadae tunakolea tunaishia kwenye makasino na hawa jamaa wa hapa bongo wanapunja sana kwenye odds kwa sababu gaming boards zetu zinakula nao mi nlikuwa na bet online ladbrokes nikaona tofauti kubwa odds za kampuni zetu na huko nje. Huko nje wenzetu wanakuwa kidogo fair kuliko huku. Huku wanatukamua kabisa. Ntakupa mfano kama kuna mechi tano majuu odds ni 1.8 x 1.6 x 2 x 3 x 2.4 = 41.472 hapa bongo wakikupunja pointi mbili mbili tu angalia tofauti 1.6 x 1.4 x 1.8 x 2.8 x 2.2= 24.83. Bora tubaki kushangilia tu kuliko kukamuliwa tunajiona.
 
Lakini kumbuka soko la bongo bado so risk ya wao kupata faida ndogo ni kubwa kuliko huko nchi za watu.
pia hapa kwetu watu wnacheza bukubuku , buku tano mtu akitupia la kumi lazima asali na kusali siku hiyo. so utaona kuwa biashara hii hapa bongo bado sana.
 
Ila wewe ni baharia, nadhani hutosombwa na maji kamwe!

Hapana Arushaone leo muhindi kanisomba na maji yaani haifai hata kuhadisia. Hapa nipo hoi, sio mimi tu sema wengine mpaka wapige ndio utawaona humu wakirudisha majibu ukiona kimya basi ujue kwisha kazi... 🙁
 
Weekend hii nimechungulia vizuri sikuweka hata game 1, mzigo woote nauweka kwa manny pacquiao (boxing) baaden
 
Naomba kukuliza eti fourth fold, trixie maana yake n nn?

foruth fold una bet multiple 4 zote kwa price moja, au fifth au sixth inategemea umechagua ngapi

trixie ni tatu tu kwa zile ulizochogua na kila moja kwa kiwango cha peke yake!
 
fourfold ukiweka timu nne moja ikishindwa au zote zikishinda unapata hela yako pia fivefold zishinde nne au zote chini ya hapo umeliwa katika hizi bet kila timu unaiwekea dau lake
 
Back
Top Bottom