Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui nina mkosi gani na 1bet kila nikiweka ela aiongezeki zaidi ya kuisha...nitakula kisha nitairudisha yote...yani ela aiongezeki kabisa sijui kwa nn...kila siku naishia kuweka mtaji....aisee ii kaz ngumu sana
 
KWA WALE WANAOBET JACKPOT YA SPORTPESA, nimefanya ka UTAFITI kadogo nimegungua Away timu Ndiyo zina 50% ya ushindi, sare 23% na home team 27% Kushinda. Hivyo basi team Za ugenini Ndiyo zinaongoza kwa kutoa ushindi. Kitu kingine Jackpot ya Sportpesa haijawahi kukosa sare Kuanzia 3. Karibuni tuisasambue 344M ya Sportpesa
 
Kwa kweli kuna haja ya kuweka mikeka minne kwa namna tofauti kwenye hiyo jackpot
 
Hahahahahaha unamaanisha wamekuchangia Mkuu??Hao inabidi tuwafungulie kesi ya jaribio la kutaka kuua maana km ni wengine walikuwa na nia ovu kabisa.
Yaani yule mbulula Chelsea ningejua basi ningempa mpinzani wake goli tatu aingie Nazo then ashinde halafu ningeweka laki sa hivi ningekua nafanya sherehe tu hapa
 
Dah ndo nmeamka:

-na ulaaniwe besiktas umeninyima pesa ndefu,

-ulaaniwe nyumbani na ulaaniwe ugenini

-msimu huu uwe mgumu kwako, ikiwezekana ushuke daraja

-timu yeyote unayokutana nayo iwe na baraka juu yako na ikufunge,

-shwain.
 
Huyo bwege sijawahi kumwamini toka siku Fulani apewe odd 1.13 mpinzani wake 31 na akafungwa tena nyumbani kwake huyo simtaki hata kidogo besiktas ni jipu
 
Dah ndo nmeamka:

-na ulaaniwe besiktas umeninyima pesa ndefu,

-ulaaniwe nyumbani na ulaaniwe ugenini

-msimu huu uwe mgumu kwako, ikiwezekana ushuke daraja

-timu yeyote unayokutana nayo iwe na baraka juu yako na ikufunge,

-shwain.
Daaaah[emoji23][emoji16][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…