Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

To all of you punters let us take advantage of this weekend games and collect some money, because after this weekend it's 'FIFA' week!!! Let use this weekend to help each other so that we can win and have money.

 
Mi mwenyewe nilipata tatizo mara moja tu tu tena nilipodeposit hela ikakaa pending lakini nilirudishiwa na Tigo ndo waliiweka pending so hata M-LIPA muda mwingine tunawalaumu bure kumbe hela haijafika kwao.

Lakini nilipokuja kuangalia nikagundua kuwa kwenye setting za 1xbet kuna kitu kinaitwa WORKING CURRENT MIRROR kilikuwa on nilipokiweka off sijawahi kupata tatizo lolote la kuweka wala kutoa.

Shida humu watu wengine wavivu Kujifunzia na kufanya setting zao sahihi hata pale wanapoelekezwa kuwa vitu hivi inabidi uviweke OFF coz vinasumbua ukitaka kutoa au kuweka hela lakini mtu atakuja dk 5 baadae anauliza kitu hichohicho au kulalamika oooh sijui hela imenasa juu ya mti n.k.

Na hapa ndipo mawakala uchwara wa haya makampuni mengine wanapoutumia mwanya huo kuichafua 1xbet but naamini kwa wanaoufahamu uhalisia wa makosa wanayoyafanya hawa wanaolalamika hawezi kukubaliana na uongo kuwa oooh sijui 1xbet wahuni n.k

Nitamuona mtu muungwana aseme ninahamia sportpesa au Premier au M-BET kwa sababu upepo wa kushinda hauendi sawa ngoja nijaribu na wengine lakini msijaribu kushawishi watu kuwa 1Xbet wahuni kisa hela imenasa sehemu wakati ww mwenyewe ndio chanzo kwa kutoangalia settings zako.KIUKWELI sie wenginetunapata tabu sana kuzielewa hizi slogan zenu za uhuni wa 1xbet.

Kila mtu anao Uhuru wa kujiunga na kampuni aipendayo so ukijisikia kuhama hama kistaarabu na sio kutoa sababu ambazo hujaziprove.

Sincerely,
Bachelor Sugu.
 
Welcome www.bikosports.co.tz/upcoming hutajuta. kwanza option ni nyingi wewe tu

Kuna nyingine inaitwa gal sport betting ina option nyingi sana,ila tatizo lao ni moja tu unaweza ku deposit hela kwenye account yako na uka play online lakini hautoweza ku withdraw hela ikaja kwenye simu yako bali uki withdraw wanakutumia code kisha uende kwenye betting shop zao ndo uchukue hela zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…