Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nakubalina na hoja
 
kwa bongo me naona princess bet tu. labda anachokosa ni turbo tu. site yao kwanza haina usumbufu pili hata haimuumizi macho mtumiaji
 

Mkuu nyinyi mnatumia 1Xbet ipi isiyo na ku filter masaa!!mi mbona naopaona?Tuseme ukweli tu jamani hakuna kampuni hapa bongo itawafikia hawa Warusi, kwao hawa Kuna option kamwe uzikuti kwa Wabongo, Option kama Substitute player to score, trow ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk

Note: Siwapigii debe ila since nimeingia huku nimeshazisahau kampuni zetu kina PMbet, Premierbet, Mkeka nk
 
Bro In your mind, what is working current mirror in relation to what you have advised us??
 
Betting shop zao zinapatkana wapi hapa bongo???
 
hata ukifilter mkuu haziji zote
 
kwa bongo me naona princess bet tu. labda anachokosa ni turbo tu. site yao kwanza haina usumbufu pili hata haimuumizi macho mtumiaji
sasa huyu afisa masoko wao @isaac77 badala ya kufafanua ni namna gani labda kwa

Usianze ku provoke na kujibu kwa hasira. Kama wewe umehaizoea hiyo ungeelimisha kwa upole na kwa hoja. Mimi nime diclare wazi wazi kuwa sijawahi kucheza kwa kutumia hii 1x ijapokuwa nimejiunga nayo. Natumia muda huu kuijifunza kwanza ndio maana nimetoa PRONS nda CONS zake kulingana na sites nyingine nilizozizoea. Na sikueleza mabaya yake tuu. Maana ya kuwa kwenye kundi ni kuelimishana na kama umewahi kujua kitu kizuri unawasaidia wenzako wasihangaike. Nimeandika hivyo makusudi kwa sababu app. yenyewe ni kubwa na labda kwa niliyoyaona kwa haraka haraka nimepitia njia ambayo si sahihi na labda kuna uchochoro naweza kupita kiulaini. Kusema kuwa option nyingi ni zile zile nilijikita kwenye impossibles. Wao wameweka vitu ambavyo ni rare to occur sasa sisi tutumie akili tuzifanye kuwa possibles, na zile ambazo ndio maana ya ODD yaani namba TASA kwa kibongo. Mimi nakusihi utumie uelewa wako utufafanulie kama ukipenda.
 
Nilishindwaga kuielewa hii option sijui ina maana gani
*Ukichagua hiyo option yenye 1 mbele inamaanisha unampa home ushindi akishinda Away unakuwa refunded, ikitoka draw umepoteza.
*Ukichagua option yenye 2 mbele unampa away ushindi akishinda home unakuwa refunded. Ikitoka draw umepoteza
*Ukichagua yenye X mbele inamaana watoke draw akishinda away unakuwa refunded. Akishinda home umepoteza
*Na hiyo X nyingine unaipa draw, akishinda home unakuwa refunded akishinda away umepoteza.
 
Mbona kwangu options za saa/muda wa mechi zipo!!
 
*Ukichagua hiyo option yenye 1 mbele inamaanisha unampa home ushindi akishinda Away unakuwa refunded, ikitoka draw umepoteza.
*Ukichagua option yenye 2 mbele unampa away ushindi akishinda home unakuwa refunded. Ikitoka draw umepoteza
*Ukichagua yenye X mbele inamaana watoke draw akishinda away unakuwa refunded. Akishinda home umepoteza
*Na hiyo X nyingine unaipa draw, akishinda home unakuwa refunded akishinda away umepoteza.
 
Mbona kwangu options za saa/muda wa mechi zipo!! View attachment 887866
Mkuu nadhani shida ya wengi ni kwamba wanachangamoto hawajui namna ya kuitumia apps ya hao warusi. Mi nashauri kila mtu apambane na hali yake uko ktk kampuni anayotumia, ila ikitokea mtu anataka kujifunza toka kwa mwenzie wa kampuni nyingine basi aulize tu
 
Thanx
 
Mkuu Option kama Substitute player to score, throw ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk umewahi ziona ktk makampuni ya bongo?nadhani 1xbet wako mbali sana ki options
Ndio maana nimewaambia 1xbet ni kama bufee unajipakulia unachotaka. Sio m-bet wao event moja ina option less than five.. [emoji37]
 
Mkuu Option kama Substitute player to score, throw ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk umewahi ziona ktk makampuni ya bongo?nadhani 1xbet wako mbali sana ki options
Kuwepo kwake mkuu haitoshi sana, tatizo ni kwamba waliozitengeneza wamecheza na logic sana huwezi kubashiri na ukawa na uhakika eti kwamba mtu ambaye ameingia kwa sabstitution atapata goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…