Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

meridianbet app n website yao mbna znazngua ivi..
Meridian weekend lazima izengue yaan usipo bet ijumaa ucku au jumamosi asubuhi sana imekula kwako ila cha ajabu jumapili inatulia kabsa
 
Mkuu Option kama Substitute player to score, throw ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk umewahi ziona ktk makampuni ya bongo?nadhani 1xbet wako mbali sana ki options
Hatuchez live
 
troyes baada ya kushuka daraja naona yuko fresh sana now tumtumieni msimu huu
 
Kuwepo kwake mkuu haitoshi sana, tatizo ni kwamba waliozitengeneza wamecheza na logic sana huwezi kubashiri na ukawa na uhakika eti kwamba mtu ambaye ameingia kwa sabstitution atapata goli
Ishu yenu mnayobishana ilikua ni maswala ya Options ndio nikakupa mfano huo. Kumbuka tu kua Mpira ni mchezo wenye hizo events zote so kuwepo ni sawa kabisa, Mkuu naona unasema maswala ya kutokua na "UHAKIKA" , Katika betting hakuna option yenye uhakika so bora wao wametoa wigo mpana wa wa option kwa mtu kua na choices ya options nyingi
 
Kuana baadhi ya matukio hutokea mara kwa mara na kwa kujirudia, ijapo kuwa hakuna uhakika lakini kuna high possibility to occur. Ndio maana hizo wanaweka odd ndoogo kabisa nadhani hilo halina ubishi. Zaidi ya hapo nimekuelewa vizuri maelezo yako maana mimi naye sii mgeni wa kushinda na kushindwa katika bet. Mini ni mtaalamu wa michezo mingine isiyo soka maarufu kama MAKOROKOCHO, na kila option nimezipitia na nazipima zile ambazo zipo mbaali sana kuwezekanika naziita kama kamari na kuzitupilia mbali
 
Kwa kweli watu wana hitaji muda zaid kuisoma 1x so far mpaka sasa kwangu ndio kampuni bora kabisa ambayo kila option ninayo ihitaji naipata
Kuna mdau kazungumzia kukosekana kwa option za masaa eg masaa6 wakati udambwi dambwi wooote ume jazwa umo see attachment below


We una pewa mpka option ya dakika za nyongeza ziongezwe ngapi za first half? 2+ odds si chin ya 1.4 ama 3+ odds mpka 2 uko
Wapi kampuni ya bongo uta ona hii option
How first goal will be scored? By kicking or head?

Na nyinginezo kibao
Bongo bado sanaaaaa kampuni zetu livescores wana onesha mechi zaid ya 200 ziko live/inplay wekeend ukija kampuni zetu wame jitahid sana basi mechi 50 watakuwekea


 
Shida yao wapo kama chuma ulete
 
Nakubali kaka.. I think imewin..
Nilimix na timu zingine ili kuongeza Odds..
So zikitiki na hzo.. Alhamdulillah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…