Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani msaada kwa wale wanaojua kucheza VIP tips na fixed match za uwakika ambazo siyo z utapeli na app zake mnitajie nitawashukuru sana wanaJF
 
VIP tips na fixed match za uwakika ambazo siyo z utapeli
Mkuu hich kitu hakipo kwenye hii Industry, Labda Urekebishe kauli, Hakuna kitu kama Match za uhakika, hakuna, Ni wataalamu tu wanakaa na Kufanya Analysis za Algorithm, of which ndio hizo zinabaunce sometimes...
 
Kweli mkuu awa XBET wako vzuri options lkn unaweza kuna unaingia adi hasara ya mamilioni maana awana MSAADA kabisa ukipiga zile namba amna wanachokusaidia
Mkuu nilikuuliza tangu majuzi, ulipoweka pesa ulibet ukala hata mchezo mmoja?
 
Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? Simwelewi
 
Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692
ulitumia bonus kwenye hiyo hela uliyo betia? kama hukutumia bonus inaonesha wamecalculate kiasi ulicho deposit mikeka uliyo cheza na kiasi ulichokula haviendani.

na kama hakukua na ishu yoyote kati ya hivyo basi utakua uhuni wao tu
DeepPond JOAQUEM leteni maoni yenu hapo.
 
Mkuu sikutumia bonus kwenye kubet, nilideposit laki moja Jana na ndio hiyo nilitumia kwa siku Mzima na kuna masaza yalikuwemo kwenye account yangu kidogo tu kama 30k.

Hii kampuni nayo inazingua kiaina na hivi hakuna hata wa kuwasiliana nae ili aniambie nimekosea wapi? Ukiwatumia SMS hawajibu.
 
Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692
Mnh mmh mkuu lugha za watu hizo.
Mi nilichoambulia hapo ni kwamba ili utoe kiasi hicho ina kulazimu kuweka mkeka wenye odd 1.1 na kuendelea kwa kwa kiwango cha pesa ambacho ni kiasi kile cha mara yako ya mwisho kudeposit. Kama mara ya mwisho umediposit 30000 basi tandika mkeka wa 30000 ambao rimu zake zitakuwa na odd kuanzia 1.1 nakuendelea.

Lugha ya watu hii mi nimejaribu tu walosoma Fedha watakuja wakuelezee vizuri
 
wakuwasiliana wapo na wanajibu fasta nena kwenye my account kulia pembeni baada ya kubonyeza utakutana na custimer support bonyeza hapo..
 
Mara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya last deposit yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…