Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Over (3) ndo bet inakua refunded hii pia ni sawa na saw na over 2.5
Over 3+ ndo sawa na over 3.5 hapo magoli ndo yaanzie 4
mkuu acha ubishi nimekutumia na picha slip moja nimeweka hivo na goli ziliingia tatu tu
 
Over (3) ndo bet inakua refunded hii pia ni sawa na saw na over 2.5
Over 3+ ndo sawa na over 3.5 hapo magoli ndo yaanzie 4
over 3
Nafikir tunatumia kampuni tofauti
kampuni gani isije kuwa wanakuibia+

na sio ampuni zote wana hizo option hapo

mimi ipo 3+ na over 2.5 but hazina tofauti sana ila mtu yeyote ukimwandikia 3+ moja kwa moja anajua ni over 2.5
 
[emoji119][emoji119][emoji134]
 
mkuu acha ubishi nimekutumia na picha slip moja nimeweka hivo na goli ziliingia tatu tu
Wakat mkibishana kumbukeni campony ni tofauti...kwa ninavojua 1bet kama umweka over ya 3 ikatoka iyo 3 utakuwa refunded ila cjajua kwa upande wa company zingine
 
Wakat mkibishana kumbukeni campony ni tofauti...kwa ninavojua 1bet kama umweka over ya 3 ikatoka iyo 3 utakuwa refunded ila cjajua kwa upande wa company zingine
nilishamweleza hilo yani anabishana na mtu ambaye nishazurura kampuni kibao na kuzielewa option zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…