Stress za maisha unaweza ukajikuta unaliona li avatar la troublemaker linakuzinguaDah aloo una mambo sana ndg
Kwanini uote ndoto kama hiyo
Najua mkubwa sema nakutana nalo sana bwana troublemaker awe muungwana alitoe atalitumia kwingine kutisha watoto 😂😂😂Kama wwe ni mpenzi wa soka utagundua kua iyo ni katuni ya Ronaldinho Mkuu
Kama pia ni mpenzi wa cartoon za vichekesho tizama moja ina series nyingi sana inaitwa Scooby dooby ukiitazama kupitiliza inaweza kukupa uraibu ukaanza kuliota linakurusharusha 😂😂Kama wwe ni mpenzi wa soka utagundua kua iyo ni katuni ya Ronaldinho Mkuu
Mkuu! Nimelipwa tayari ila kwa mbinde sana. [emoji16]Angalia asije akateleza nayo yote Mkuu.
ulicheza kwenye odd za kuanzia 1.1? kama mashart yao au kakulipa tu?Mkuu! Nimelipwa tayari ila kwa mbinde sana. [emoji16]
BOOOOOOOM
Shkamoo mzee baba....nlifuata moja Jana nimeamka imeticBOOOOOOOM
Allll
Leteni live sasa nimehamia meridian japo under na over sizielewi ila ntapambanaIts official..... Mrusi kanilipa 400k yangu Yote kwa awamu. Kwa sasa simdai wala hanidai. Asanteni kwa wote mlioandamana na Mimi katika kumsakama Mrusi anilipe kwa wakati.
Pamoja tuzidishe zaidi umakini ili tumpukutishe zaidi Mrusi.View attachment 891288
PamojaampwaaaShkamoo mzee baba....nlifuata moja Jana nimeamka imetic
Safi kwa nini waje private wakati hapa wanaziona ......wa bongo kwa ubinafsi hatujambo khaaaaaaWAPENDWA SINA TIPS ZINGINE SPECIAL ZAIDI YA MNAZOZIONA..MKIONA SIJIBU INBOX NAKOSA MAJIBU..
Vp ni nyota unajaribisha?Leteni live sasa nimehamia meridian japo under na over sizielewi ila ntapambana
Kidogo afadhali meridian ila kwingine lolVp ni nyota unajaribisha?
Mbona mnanitisha, Sportpesa wako shallow mno, option zao chache sana wanachagua mechi ila malipo wako vizuri mno.Nimehamia 1xbet naona wana option nyingi sana,sasa kama habari ndo kama hii mbona naanza kuogopa.Its official..... Mrusi kanilipa 400k yangu Yote kwa awamu. Kwa sasa simdai wala hanidai. Asanteni kwa wote mlioandamana na Mimi katika kumsakama Mrusi anilipe kwa wakati.
Pamoja tuzidishe zaidi umakini ili tumpukutishe zaidi Mrusi.View attachment 891288